waziri mkuu mh. el akibadilishana mawazo na mbunge wa songea mjini na naibu waziri wa kazi, ajira na maendeleo ya vijana dk. emmanuel nchimbi (kati) na mbunge wa mbinga magharibi kpt. john komba nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma leo. kikao cha bunge ambacho ni kirefu kinaendelea kwa wah. kuchangia hotuba ya bajeti
Home
Unlabelled
wah.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nchimbi kazidi kuvimba.
ReplyDeleteLAZIMA AVIMBE KWA KUWA ANAFAIDI SEHEMU KUBWA YA KEKI YA TAIFA.....ILA NDIO TUONE ITAKUWAJE NA HII TAARIFA YA GAVANA WA BENKI KUU.....SIJUI TUTAAMBIWA HAKUNA USHAHIDI???????HAPA NDIO TUONE KAMA KWELI BUNGE NA SERIKALI VINATUJALI WALIPA KODI WA NCHI HII!!!!!!
ReplyDeletehivi komba ana shule kiasi gani??
ReplyDeletemana hilo tumbo ni kubwa mno,,
Inaelekea wanazungumza maneno haya:
ReplyDelete"Mheshimiwa EL mimi kama mshenga wa Mpakanjia najitahidi sana hapa kumsihi Mhe. Naibu Waziri amalize tofauti na yule Mhe.wa viti maalum vijana"
Mmmeona saa aliyo ivaa komba? Huu ndio wizi wa macho macho na kushindwa kuwatumikia wananchi na kula mali ya umma na kupokea rushwa. Ni tofauti kabisa na viongozi wa nje wapo simple na wanatumikia wananchi na mataifa yao kwa nguvu zote.
ReplyDeleteKapten Komba ana Digrii ya Sanaa.
ReplyDeleteCapt. John Komba amevimbewa anaweza pasuka wakati wowote...I a pouring my tax shilling down the drain.
ReplyDeleteMbunge kabeba gazeti la udaku in public. Kweli tutafika?
ReplyDeleteKweli kila jambo linalipa,Komba kuimbaimba tu leo mbunge,watu wengine wamekula kitabu ndo kikawafikisha hapo.Hapan shaka na yeye akishaongoza kwa muda mrefu atarudi shule just like Sumaye Fredric sio ndiyo zetu Africa ongoza kwanza shule later
ReplyDeleteWAJAMENI LOWASA KANANA NA MWALIMU JULIUS NYERERE.....MNO YAANI. MUNGU AKUBARIKI BABA NA UWE MWAMINIFU KATIKA UONGOZI WAKO KATIKA TAIFA LETU.
ReplyDeleteguys tukae mkao wa kula. siku moja hata Joti atakuwa mbuge tena wakuchaguliwa hivihivi.
ReplyDelete