meza na viti kwa waalikwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2007

    Yeah kamua kamua dada. Sijui wanye kusema mapambo ya Tanzania watasema nini leo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2007

    Kwa kipengele cha mapambo.. nimekubali! sijui harusi yenyewe ilikuwa nzuri!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2007

    Sir Issa ANAFANYA VIZURI SANA..HAPA WATU WANAFANYA MAMBO KAMA HAYO NA ZAIDI SAFI SANA..TUNASHUKURU.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2007

    Kweli bongo ni hela yako tu. Na gharama ya hii ni ndogo kuliko mtu anayefungia harusi nje ya nchi.

    Kupamba ukumbi hivi USA ingemgharimu mtu si chini ya elfu tano. Kwavile mapambo ya $2000 tunayajua.

    Na hiyo cake achana na style yake kwa vile sasa hivi watu wa USA cake zao ni more of fondant icing na granaches icing kuliko buttercream icing. Na kwa wale wanaofanya bado buttercream iccing ni cheaper zaidi. Ila all in all cake huku bei zake unapewa kwa idadi ya watu watakao kula hiyo cake. Kwa kuangalia tu hiyo cake itasave sio chini ya watu 300 reasonable pieces. Sasa hapo unaambiwa piece moja ni $4 na hata wengine ni $10 na zaidi kwa mpishi mwenye jina.

    Kweli bongo kutamu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2007

    Tupe contact basi...jamani nilikua natafuta pia wapambaji huko bongo pia nikaona hii link Nimemwandikia email nione deal zake zikoje. TOP GRAND EVENTS

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2007

    Kuorder cakes za Monica nenda opposite shoppers plaza, pale wanapaita Namanga Ndogo, kuna Store inaitwa "accessories and Decorations" au kitu kama hicho...Au ukifika pale ulizia duka la keki..Nadhani pia ni hapo hapo unaweza kuzungumzia kuhusu mapambo..Kama upo ughaibuni na u really need her contacts, mtume ndugu yako hapo akakuchukulie namba. Keki zake tamu sanaaaaa, ingawa hazipambi kwa sana.. kwa utamu hakuna anaemuingia kwa huko bongo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...