Home
Unlabelled
meza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yeah kamua kamua dada. Sijui wanye kusema mapambo ya Tanzania watasema nini leo.
ReplyDeleteKwa kipengele cha mapambo.. nimekubali! sijui harusi yenyewe ilikuwa nzuri!!!
ReplyDeleteSir Issa ANAFANYA VIZURI SANA..HAPA WATU WANAFANYA MAMBO KAMA HAYO NA ZAIDI SAFI SANA..TUNASHUKURU.
ReplyDeleteKweli bongo ni hela yako tu. Na gharama ya hii ni ndogo kuliko mtu anayefungia harusi nje ya nchi.
ReplyDeleteKupamba ukumbi hivi USA ingemgharimu mtu si chini ya elfu tano. Kwavile mapambo ya $2000 tunayajua.
Na hiyo cake achana na style yake kwa vile sasa hivi watu wa USA cake zao ni more of fondant icing na granaches icing kuliko buttercream icing. Na kwa wale wanaofanya bado buttercream iccing ni cheaper zaidi. Ila all in all cake huku bei zake unapewa kwa idadi ya watu watakao kula hiyo cake. Kwa kuangalia tu hiyo cake itasave sio chini ya watu 300 reasonable pieces. Sasa hapo unaambiwa piece moja ni $4 na hata wengine ni $10 na zaidi kwa mpishi mwenye jina.
Kweli bongo kutamu.
Tupe contact basi...jamani nilikua natafuta pia wapambaji huko bongo pia nikaona hii link Nimemwandikia email nione deal zake zikoje. TOP GRAND EVENTS
ReplyDeleteKuorder cakes za Monica nenda opposite shoppers plaza, pale wanapaita Namanga Ndogo, kuna Store inaitwa "accessories and Decorations" au kitu kama hicho...Au ukifika pale ulizia duka la keki..Nadhani pia ni hapo hapo unaweza kuzungumzia kuhusu mapambo..Kama upo ughaibuni na u really need her contacts, mtume ndugu yako hapo akakuchukulie namba. Keki zake tamu sanaaaaa, ingawa hazipambi kwa sana.. kwa utamu hakuna anaemuingia kwa huko bongo
ReplyDelete