Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2007

    Michu muonye kipanya asije akaua bendi!! Hiyo ni unfair trade practice na kujaribu kuharibu soko la Konyagi japo kaandika wrong spelling. Kimsingi anashitakika mahakami ingekuwa ni wenzetu wanao linda sana biashara zao.
    Nawasilisha

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2007

    Kafanya hivyo il asishitakiwe! Kaa wafanyavyo wa SNL (Saturday Night Live) a NBC ya Amerika.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2007

    Jamani, hilo bunge limenikumbusha Amina Chifupa, hivi jamani anaendeleaje? hivi ni kweli kabisa yani hajitambui? Da! yani wazee wazima hawakopeshi? wasije wakamwipiana bure!! mtoto wa watu, mana wanadai alishatinga anga zao hivo wamemziba mdomo! jamani amina kwanini ulianza kuwaumbua laivu kuhusu madawa ya kulevya, ungejua ungewachunia, walikumaindi sana ujue! okay michu tupe habari zake zaidi, namtakia kila la kheri, na arikave soon!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...