Home
Unlabelled
mh. kp
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu muonye kipanya asije akaua bendi!! Hiyo ni unfair trade practice na kujaribu kuharibu soko la Konyagi japo kaandika wrong spelling. Kimsingi anashitakika mahakami ingekuwa ni wenzetu wanao linda sana biashara zao.
ReplyDeleteNawasilisha
Kafanya hivyo il asishitakiwe! Kaa wafanyavyo wa SNL (Saturday Night Live) a NBC ya Amerika.
ReplyDeleteJamani, hilo bunge limenikumbusha Amina Chifupa, hivi jamani anaendeleaje? hivi ni kweli kabisa yani hajitambui? Da! yani wazee wazima hawakopeshi? wasije wakamwipiana bure!! mtoto wa watu, mana wanadai alishatinga anga zao hivo wamemziba mdomo! jamani amina kwanini ulianza kuwaumbua laivu kuhusu madawa ya kulevya, ungejua ungewachunia, walikumaindi sana ujue! okay michu tupe habari zake zaidi, namtakia kila la kheri, na arikave soon!!
ReplyDelete