
mkurugenzi mkuu wa clouds 88.4 fm pamoja na prime time promotions jesph kussaga akimkabidhi zeze na ngoma jah rule ofisini kwake mara alipotua jijini dar kwa onesho la fiesta 2006. kuna tetesi kuwa safari hii tena atashuka mwingine saizi ya jah ruyle kutumbuiza ndani ya tamasha la fiesta 2007 mwezi ujao. stei tyuund....
Si walisema Fiesta ya 2006 ni la mwisho? Sasa lipo tena?
ReplyDeleteMICHU PELEKA HUU UJUMBE CLOUDS. NI HIVI, SIKU HIZI POWER BREAKFAST HAINOGI TENA KAMA ZAMANI. TIMU YA WATU WATATU ILIKUWA NI FINA, GERALD NA MASUDI KIPANYA. SASA SIKU HIZI UNAKUTA MARA MASUDI HAYUPO MARA GERALD KACHELEWA MARA SIJUI KUNA WATU GANI AMBAO KWA SAUTI TU HAWAVUTII. MFANO HUYO BONGE WA SASA, SINA HAKIKA KAMA UNAUSIKIVU MZURI MASIKIONI MWA WATU. WAJARIBU KUFANYA UCHUNGUZI JUU YA HILO.HALAFU SIKU HIZI MNAOGOPA KUSSEMA VITU DIRECT SIJUI KWA NINI AU SERIKALI ILIWAPIGA MKWALA? MI ZAMANI POWERBREAKFAST NILIKUWA NAITUMIA KAMA SEHEMU YANGU YA KUNIJULISHA TANZANIA KUMETOKEA NINI LAKINI SASA KILA NIKITEGA SIKIO NAKUTA MNALIMUMUNYAMUMUNYA TUU JAMBO. ANGALIENI MSIJE MKAPOTEZA UMAARUFU WENU. CLOUUUUUUUUUUDDDZZZZZZZZZ FMMMMMMMMMMMMMM.
ReplyDeleteMnaosikiliza hii redio kwenye net manasikilizia wapi? Niliwahi kuipata mara moja tu kwenye bongo5 lakini nilibahatika mara mbili tu . Baada ya hapo haifunguki tena.
ReplyDeleteNaomba mnieleze au kuna redio nyingne ya Tanzania inayosikika kwenye internet? Radio ya talk shows and news sio ya misiki tuuuuu. Miziki nasikiliza kwenye mahusiano.com na hiyo inanitosha kabisa
Kazi ipo kama wanajisahau wakasema 2006 ndio mwisho wa Fiesta inakuwaje tena au kuna utamu gani?
ReplyDeleteradio maria tanzania inapatikana live, ni radio ya dini, 1100 na 1800 hours GMT inajiunga na radio tanzania dsm kwa taarifa ya habari
ReplyDeletenaomba hiyo website ya radio maria. Nimegoogle zinakuja maeleze ya huku niliko tu...sioni hiyo yao. Thanks
ReplyDeletewww.radiomariatanzania.co.tz
ReplyDeleteWEYE MICHUZI NINI NOMA SANA , TUMETOA MAONI YETU NYETI NA WALA SI MABAYA .. UMEAMUA KUMINYA HUKUYAPUBLISH. NDIO MAANA WADAU WENGINE TULIONA HAPA BULOGUNI WANASEMA UNAPENDELEA WATU KAZAA. HASA HAO WAKURUGENZI TULIOWATAJA
ReplyDeleteJamani mkumbuke michuzi hawezi kuweka kila comment kwa vile anafanya kazi serikalini..
ReplyDeletePili anaishi tanzania
tatu mnataka aweke kila maoni akipotea mtamuuliza nani?
Mnajua nchi yetu ukiwasema vigogo unatumiwa popobawa ..
Tanzania tunajidai nchi ya demcrasy lakini bado sijui ni ucommunist au ni kabepari kadogo tu hako kanchi kwtu there is NO FREEDOM OF SPEECH AT ALL.
Watu ni waoga oga tu...heshima nyingi za kinafiki tu
Asante sana sana.....
ReplyDeletesasa kama radio maria kwanza ya dini wanaweza kurusha habari zao kwenye mtandaonini kinaowashinda hao wengine? Wangejua ulimwengu wa leo ni wa mtandao...
Jamani Joseph umevimbaa...!angalia usipate maradhi mwenzangu,japo najua mawazo ya huko bongo kuwa mtu ukiwa na wadhifa lazima uvimbe!Fanya mazoezi si nasikia Dar kuna gym tele.Au agiza vifaa vya gym toka kwa jamaa zako abroad.
ReplyDeleteHata hivyo hongera sana umeendelea sana.
Good luck!