Home
Unlabelled
mlangali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mi naomba nitoe shilingi, hii sio sio IR labda tuelezwe vizuri ni sehemu gani.
ReplyDeleteaisee jamaa ananikumbusha mbali. hicho kijiji kinaitwa MALANGALI, sio Mlangali. Kipo njiani kuelekea Kidamali ambako pia kuna kiwanda cha "Maji Afrika". Ni njia hiyo hiyo pia inayokwenda mbuga ya taifa ya Ruaha.
ReplyDeleteSijui wale wagiriki wanaolima tumbaku Malangali bado wapo? Jamaa wanakata sana miti na kuua watu kwa kuwafanyisha kazi katika mazingira mabovu sana. Yaani wanaokausha hizo tumbaku wamesinyaa kwa moshi wa tumbaku, na wanaishi kama watumwa enzi za ukoloni. JK hebu wamulike hawa jamaa
Michuzi hii sio MALANGALI Kweli?
ReplyDeleteNICE VIEW OOOOH!!!!!!!!!!!!!!!! LALALAAAAAA
ReplyDeleteAisee.. udenda unanitoka jinsi picha inavyo onyesha kimadhubuti hicho kijiji, shule, mashamba,kanisa n.k. truly postcard picture!!
ReplyDeleteJamani wala Michuzi na huyo mdau aliyeleta picha naye hajakosea, hicho ni kijiji cha MLANGALI na si MALANGALI, Kijiji hicho kama sijakosea kipo wilaya ya Njombe au Ludewa, lakini nina uhakika kuwa barabara ya kwenda Ludewa kwao marehemu Kolimba inapitia hapo, mimi binafsi nimefika katika Kijiji hicho. Na huyo jamaa aliyetuma picha hiyo yeye ni mzaliwa wa kijiji hicho.
ReplyDeleteObeid asante sana kwa kunikumbusha wakati nilipokuja kuhani msiba wa Mama.
Michuzi umenikumbusha kwetu i swear!!.....Nimeshaanza patwa na home sickness wow!
ReplyDeleteAsanteni sana yaani mnatufurahisha sana na kukumbusha mbali. Unajua tena ukishaishi huku ukija bongo sana sana you can afford ni for week na hizo four week ni baada ya miaka miwili au zaidi kuna sehemu nyingine hata iweje hatutaweza kuziona kabisa
ReplyDeleteMalangali ni kijiji alichozaliwa mama yangu mzazi duh...nimeliona hilo kanisa la Lutheran ni la zamani sana.Hapo ndipo Isimikinyi bwana!!!
ReplyDeleteHeko Michuzi
stress free life.
ReplyDeleteUnalala na kuamka wala hamna anyekudai bili ya umeme, maji, simu, motgage, bima ya nyumba na sehemu hizo wala bima ya mafuriko wasingeijua, security alarm hata hawaijui manake wote wanaaminiana...
na hewa hapo ni so fresh
Miss that life
Sasa ngoja niwaeleze. Mimi nimezaliwa hapo Mlangali, nimekulia hapo MLANGALI na nikacheza mpira hapo Mlangali na timu moja iliyoitwa BADO SPORTS CLUB na kuwa mabingwa wa soka wa wilaya ya LUDEWA mwaka 1990. Mimi ndo yule kocha wao (Kocha KULANAO). Kanisa lionekanalo hapo ni ANGLIKAN na wala si Lutherani, kwa mbali ni Jengo la ustawi wa jamii (Jengo la LISHE) na kwambele yake ni Kituo cha Afya cha Mlangali. Milima yote hapo Mlangali ilikuwa mali ya akina MTIMAVALYE. Asante mdogo wangu Obed. Yune Ambwene Lunyamacho Mtimavalye Mgaya, somewhere in Europe, nitakuwa Mlangali mwishoni mwa July.
ReplyDeleteHAPO WOTE MMEKOSEA INAONEKANA MNABABAIKA NA HAYO MAJINA MAWILI NA MIMI NAWASAWAZISHA. MLINGALI NI KITONGOJI KIDOGO CHA IRINGA MJINI,UNAPITA MLANGALI UKIWA UNAENDA KIWANDA CHA MAJI.KUTOKA IRINGA MJINI(MANISPAA)KINAANZA KITONGOJI CHA MIYOMBONI,MSHINDO,MLANDEGE,MLANGALI,KIODOMBI UNAMALIZIA NA ITAMBA. MALANGALI NI KIJIJI NJIA YA KWENDA MBEYA UKISHAPITA MUFINDI. KUNA NJIA PANDA INAELEKEA HUKO NI KUNA MWENDO MREFU KUTOKA HIGHWAY.
ReplyDeleteWAAA DU NIMEFURAHI SAAANA JAMANI HAPO NI KUNYUMBA HAPO. NI MAHALI PAITWAPO MLANGALI SIO MALANGALI. NI KWA WAPANGWA ORIGINAL HAPO TUHONGICHE SANAAA. NI NJIANI KUELEKEA KWETU KABISA MAWENGI DU CHOZI LANITOKA MICHUZI NIKIKUMBUKA MAWENGI DU ULANJI DU . WAKINA LUNYAMACHO WOTE MPO PLEASE NAMIMI NI LUNYAMACHO MY ADD NI MLunya@hotmail.com
ReplyDeleteWAAA DU NIMEFURAHI SAAANA JAMANI HAPO NI KUNYUMBA HAPO. NI MAHALI PAITWAPO MLANGALI SIO MALANGALI. NI KWA WAPANGWA ORIGINAL HAPO TUHONGICHE SANAAA. NI NJIANI KUELEKEA KWETU KABISA MAWENGI DU CHOZI LANITOKA MICHUZI NIKIKUMBUKA MAWENGI DU ULANJI DU . WAKINA LUNYAMACHO WOTE MPO PLEASE NAMIMI NI LUNYAMACHO MY ADD NI MLunya@hotmail.com
ReplyDelete