Home
Unlabelled
mstimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwani chakushangaza ni nini? yalifukuliwa makaburi ilala, itakuwa mstimu kuwa kwenye makutano ya barabara?
ReplyDeleteHawa wanaopewa madaraka ya mipangilio ya ujenzi wa miji hawana tofauti na KIHIYO.
Inasikitisha sana, mpaka karne hii bado hata ku-plan barabara zipite wapi na mistimu ikae wapi nayo inakuwa utata.
Hivi kweli haya maendeleo yako wapi?
Michuzi....tupatie email address ya huyo Injinia wa Wilaya ambapo hiyo nguzo hipo-Tukusaidie.Si unafahamu nchi inajengwa na wananchi..na wananchi wenyewe ndio sisi.
ReplyDeleteSisemi kwamba ni halali kwa hiyo nguo kuwa hapo, lakini I guess ni ya simu...kama ni ya umeme kwa kweli injinia sijui mkandarai huyo anyang'anywe leseni, naana ni hatari sana mstimu huu ukigongwa na gari ukaanguka. At least wangeweka reflectors around the nguzo ili mtu anayepita hapo usiku aweze kuona kwamba kuna nguzo
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteKuna kipindi mimi nilidhani unatania kuhusu huu mstimu. nikihisi ni hizi picha za ajabu ajabu ambazo zinakuwa zina-circulate kwa emails.
Juzi nimueshuhudia mwenyewe kwa macho yangu huu mstimu na kupigwa na butwaaaaaa.
Wadau wenzangu, ni kweli kabisa huu mstimu upo kama unavyooneka ktk hiyo picha. sio utani. Upo ktk round-about kule temeke stereo - sokoni. Mimi nilikuwa natokea tawi la NMB temeke ambalo halipo mbali sana na huo mstimu
hii ni sooo, inabidi wahandisi walipinge hili kwa nguvu zao zote. Ni fedheha kwao na kwa taifa kwa ujumla...