

juu mkurugenzi wa idara ya muungano katika ofisi ya makamu wa rais mh. anitha ngowi (samahani, sio swai kama nilotaja kwa makosa awali) akielezea kazi ya idara hiyo kwenye banda la idara ambamo pia kuna nyaraka, picha na maandiko ya kumbukunbu ya muungano wa tanganyika na zanziba kama hizo picha zinavyoonesha. ya kati ni wah. wakisherehekea kutiwa saini kwa makubaliano ya muungano na chini ni toleo la tanganyika standard la aprili 27, 1964 siku moja kabla ya wino wa muungano kumwagwa na mwalimu nyerere na hayati sheikh abeid karume. hii ni katika uzinduzi wa wiki ya utumishi wa umma ambapo idara za serikali na taasisi zake zinafanya maonesho kuonesha shguhuli zao
Serikali ya awamu ya nne bwana? kuanzia mwenyewe,mawaziri,wabunge mpaka madiwani asilimia 75% ni vijana na wanamvuto sijui utendaji.halafu hiyo picha ya chini kama walikuwa wanacheza mduara vile? na aliyekuwa mbele ya mwalimu lazima katokea visiwani
ReplyDeleteEEh Huyu mdada ameisha kuwa mheshimiwa, hongera sana!
ReplyDeleteMichuzi huyo Dada anaitwa ANITHA NGOWI sio SWAI au Mary Ngowi, sio swai.
ReplyDeleteNamjua huyo nimesoma nae. Labda kama siku hizi kaolewa na Mr. Swai kwa hiyo ni Mrs. Swai.
Michuzi can you come again!huyo dada naelewa anaitwa Anita Ngowi na siyo Swai kama nami sijakosea.Please would correct or comment otherwise.Yeye ni Mkurugenzi wa muungano,alitokea wizara iliyokuwapo awamu ya Mkapa na ni mke wa mwanasheria mmoja maarufu hapi Tanzania.
ReplyDeleteTusaidiene lugha hivi hilo bunge lilioindinisha muungano lilikuwa la wasenge? Maana naona gazeti la Standard liliopigwa picha hapo limeandika NATIONAL ASSEMBLY GOES GAY.Mnaojua lugha mtusaidie.
ReplyDeleteNATIONAL ASSEMBLY GOES GAY. The three-hour debate during the emergence sitting of the tanganyika national assembly on saturday night was the liveliest since the country became independent.
ReplyDeleteMembers were in ....(Michuzi re-take small fonts).
nadhani walichangia sheria na kukubaliana watu wanaruhusiwa kuwa wasenge (true until small text are retaken by michuzi)
utabaki hivyo hivyo ulisoma nae ulisoma nae wewe unafanya nini mkurugenzi wa kulea wabibi ughaibuni
ReplyDeletepicha zote zina wajihi wake, lakini mimi picha iliyonifurahisha ni hii ya huyo dada anaefanya mahojiano, kweli kazi ya uandishi wa habari bongo ngumu, huyo dada anaonekana kajichokea!! na shati lake kubwa kuliko mwenyewe!! limepauka kwa jua kali, kashikilia Mic yake kweli anatia huruma,sijui kama amekula au ndio anawahi kukimbiza story, uandishi mgumu nyumbani jamani, Michuzi unasemaje! ukipata muda anzisha mjadala juu ya hali za kiuchumi za waandishi
ReplyDeleteMichuzi tafadhali tupatie majina ya hao wanaoonekana kwenye picha ya kusherehekea muungano. Najua akiyeko nyuma ya Mwalimu ni mzee Kawawa, nyuma ya kawawa ni Boke Munanka kama sijakosea, na wengine ni akina nani?
ReplyDeleteAnon. wa June 18, 12:12: PM EAT, naungana nawe, hata mie sielewi.
ReplyDeletemmhhh umeniuwa, nimecheka hadi mbavu zinauma. Unajua nilikuwa sijashtukia.
Hivi kweli "NATIONAL ASSEMBLY GOES GAY" Jamani tusaidieni wenye kujua lugha what does it mean. Unajua sisi kiingereza kimetupiga chenga wengine wajameni. Msaada wa bure plizz
Neno gay lina maana zaidi ya moja na maana iliyotumika katika kichwa cha habari katika Tanganyika Standard ni ile hali ya kuwa katika hali ya furaha, bashasha na nderemo (jovial, glad, joyous, happy, cheerful n.k.)na si ile maana ingine ya usenge.
ReplyDeletegay means a homosexual person, especially a man.sijui kwenye magazine walikua wana maana gani
ReplyDeleteHakuna maana nyingine mbali na ile aliyotoa Anonymous wa June 18, 2007 6:57:00 PM EAT!
ReplyDeleteWenye kuunganisha na usenge, yafaa sana etymology (the study of the history of words) ni limi lilianza, kutoka wapi, na jinsi maana yake inavyobadilika.
Matumizi ya neno gay kuwa usenge (kwa Kiswahili) ni ya siku hizi!
Maana iliyotumikahapo siyo ya usenge kumbuka wakati huo usenge ulikuwa taboo karibia dunia nzima. Muandishi alikuwa na maana ifuatayo:
ReplyDeletegay: happily excited, MERRY, keenly alive and exuberant, having or inducing high spirits.
However, this is one of those controversial words, I would't use it...I would find another word.
Huyo dada anitwa Anitha ngowi, amekulia ilala shariffu shamba jirani kabisa na chuo cha dsj. Sasa hivi anakaa mikocheni anajumba la kifahari
ReplyDeleteHongera na pole Mkurugenzi, kazi yako ni ngumu sana.
ReplyDeletehicho kijamaa mbele ya nyerere kimekenua kimefurahi kishenzi, cheki ka kawawa tumbo kubwa
ReplyDeleteMnaochanganywa na neno GAY ni kwamba Gay ina maana kama tano hivi sasa nafikiri ilikuwa ni maana ya pili kati ya hizi
ReplyDeleteGAY:
1. homosexual: homosexual in
sexual orientation
2. merry: full of light-
heartedness and merriment
(dated)
3. bright in color: brightly
colored (dated)
4. carefree: having or showing a
carefree spirit (dated)
5. debauched: leading a debauched
or dissolute life (dated)
Dictionary said... kama ulivyoandika.
ReplyDeleteHiyo kamusi ni ya mwaka gani?
Wakati Tanganyika Standard linakipa kicha cha habari kama hiyo, neno "gay" lilikuwa halina maana ya usenge!!!!!!!!!!!!!!
Lilikuwa na maana ya "hali ya kuwa katika hali ya furaha, bashasha na nderemo (jovial, glad, joyous, happy, cheerful n.k.)", kama alivyosema anonymous hapo juu na wengineo.
Don't conscript hali ya wakati ule kukubali hali ya leo.
Let us be not only be educated but educatable!
Anayebisha, aulize Waingereza wenyewe au wataalamu wa etymology, kama alivyoshauri Fanya Utafiti Ujue hapo juu.
NAKUBALIANA NA MDAU ALIYESEMA KUHUSU MATUMIZI YA HIVI KARIBUNI NENO "GAY".
ReplyDeleteHILI NENO KUANZA KUTUMIWA KWA KUMAANISHA WASENGE NI HIVI KARIBUNI,HATA UKIANGALIA KAMUSI MBALIMBALI.
WASENGE WAKIKUULIZA "ARE YOU HAPPY OR STRAIGHT " ? WANAKUWA WAMEKUTEGA KWANI NENO HAPPY LINAUHUSIANO NA NENO GAY KWA KUMAANISHA FURAHA,BASHASHA.KWA JIBU LA HARAKA NA LINALOPENDEZA KINYWANI NI KUSEMA HAPPY......SASA UKISEMA HAPPY UNAKUWA UMEMTAARIFU MUULIZA SWALI KUWA WEWE NI MSENGE.UKISEMA STRAIGHT UNA MAANA UHUSIANO WAKO NI WA MWANAUME & MWANAMKE NA SIO DUME KWA DUME AU JIKE KWA JIKE.
HATA KWENYE ILE PARADE KUBWA HAPA USA.....SLOGAN YA WASENGE UTASIKIA WAKISEMA "HAPPY PRIDE".MWANZO WA JUNE WALI- WARM UP PALE NATIONAL MALL, NJE YA CAPITOL HILL(MABUNGE YA MAREKANI) NA WIKIEND YA MWISHO JUNE NI NYC(5TH AVENUE FROM 59 ST. TO GREENWICH VILLAGE).
KUHITIMISHA, NENO GAY LILIVYOTUMIKA KWENYE MUUNGANO HALIKUMANISHA WASENGE HATA KIDOGO.
Mheshimiwa ISSA..NAONA WAHESHIMIWA WAMEPANGA STARI WANA SHANGILIA..KUNAJAMAA KAKENUA VIZURI TU.."..MAMBO YALIKUWA YAKIENDA YAKIONGEZEKA.."..
ReplyDeleteKatika kuipokea Timu ya Taifa yetu katika Bunge na kwa Dar kurindima kwa shangwe, tungetafsiri kama wakati huo wa Tanganyika Standard kuwa "Bunge and Dar Go Gay"!
ReplyDeleteJamani computer ina kazi nyingi sio tu kutype na kuprint hili neno utaweza lipata kama unatumia "MICROSOFT WORKS WORD PROCESSOR".
ReplyDeletegay
gay [gay]
adj (comparative gay·er, superlative gay·est)
1. homosexual: homosexual in sexual orientation
2. merry: full of light-heartedness and merriment (dated)
3. bright in color: brightly colored (dated)
4. carefree: having or showing a carefree spirit (dated)
5. debauched: leading a debauched or dissolute life (dated)
n (plural gays)
homosexual person: a homosexual, especially a homosexual man
[13th century. From Old French gai “happy,” of uncertain origin: probably from Frankish .]
-gay·ness, n
Encarta ® World English Dictionary © & (P) 1998-2004 Microsoft Corporation. All rights reserved.
Kwa nini nyie watu hamtaki kukubali kuwa neno gay lilitumiwa na Tanganyika Standard katika masafa ya yale ya zamani "happy" ndani ya kurindima? Akili zenu finyu, nini?
ReplyDeleteLakini siku hizi limebatizwa na maana nyingine ya usenge!