wadau waosha vinywa tafadhali msianze. hapa najieleza kwa nini niliacha inzi juu ya mai fesi yake...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2007

    Tatizo lako michuzi, unajihami mnoooo! OC - Sinza'

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2007

    Huyo hapo juu kichwa kimejificha nani? na ni mwanaume na mwanamke, camera ya michuzi imekamata watu wanaotoka na wanawake wa nje wakati wameacha wake zao nyumbani? kama Liumba, Beni Mlokozi, Ale Massawe?
    Hebu muibue huyo mwanaume nani na huyo mwanamke pia. umeficha sura ndio nini weye MICHUZI.??

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2007

    HUyu mwanaume ni Michuzi, sasa bro ulikuwa unakiss nini?, mbona umeficha sura au mambo ya mke wa mtu?.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...