kuna mdau kauliza juu ya ndanda kosovo 'kichaa'. mie mara ya mwisho nilimuona kwenye tuzo za muziki za kili mwezi uliopita. sina uhakika kwa sasa yu wapi na anafanya nini baada ya kurejea toka ughaibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2007

    mchizi yupo kambini anajifua kabla ya kuzindua bendi yake mpya anayoiita SPECIAL FORCE, mwishoni mwa mwezi wa sita

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2007

    Nimemuona kwenye dvd ya shilingi ya Stono Musica.
    Hao jamaa ni moto kuliko Ngwasuma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...