Home
Unlabelled
raha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI KAKA YANGU...NAOMBA NIKUELEZE UKWELI...SISI WASOMI WA BLOG YAKO TUNAKUESHIMU SANA NA KUAPPRECIATE WHAT YOU DO SO MUCH...LAKINI IT WOULD BE SO APPRECIATED IF YOU RETURN THE SAME APPRECIATION TO US..
ReplyDeleteSISI TUNASOMA YOTE UNAYOYAWEKA HUKU NO MATTER THE CONTENTS....NA WEWE WATU WAKIKUTUMIA COMMENTS KAMA HAZINA MATUZI NI VIZURI UZIWEKE....WATU WANAPOTEZA MUDA WAO KUCHANGIA MAWAZO KWENYE JAMBO LOLOTE UNALOWEKA HUKU LAKINI KAMA MTU HAJAENDIKA KUTOA MAONI KUPITIA LEFT WINGS ZAKO BASI HUYAWEKI HATA KAMA HAMNA ADULT OR ABUSED WORDS IN IT...
SIO VIZURI KAMA UKO BIAS BASI USEME TOKA MWANZO KAMA MTU AKITUMA COMMENTS ZA KUMSIFIA FULANI NA MIMI SIMPENDI BASI SITAWEKA HUMU KAMA
DO NOT BE HYPOCRITE KAMA UNAWEKA COMMENTS WEKA ZOTE AS LONG HAZIMTUJANI MTU.
MISUPUU NINI TENA?!UNATAKA KUPAA KWENDA MBINGUNI!
ReplyDeleteMichuzi, Hayo ni mambo ya yoga au Kunfuu?!
ReplyDeleteRaha jipe mwenyewe, mwenzaki anajazia
ReplyDeletekaka umemuelewa huyo hapo juu kuhusu upendeleo(yeye ameita BIAS), mimi nafikiri angekuwa specific yaani ni maoni gani alitoa na hayakuchapishwa, nafikiri huna sababu ya kumbania mtu kama hajatukana! Na hili neno lina maana gani "HAZIMTUJANI MTU"?
ReplyDeleteHilo zoezi ulinyanyua mguu kwa muda gani maana hapo ulipo uko kwenye jiwe au msingi wala usitudanganye kuwa ulikuwa unakimbia...!!!
ReplyDeleteMICHIZI LETE HABARI ZA TANESCO TAFAZALI.
ReplyDeleteNASIKIA WATAKA KUFUNGA LUKU NCHI NZIMA ILA KIWA MWENYE MITA ZAMANI ANATAKIWA ATOE MIJIHELA KANA NDO ANAWEKA UMEME UPYA...
INACHEKESHA KAMA WAO WAMEAMUA KUBADILI SYSTIM INAKUWAJE WANANCHI WAGALAMIKE??? NAKUOMBA BABA EBU FATILIA HILI KWA KINA
MDAU
mjomba misupu jezi ulovaa ni no 1 ila sikumbuki lini mara ya mwisho bwawa la maini lilishika namba 1, sie MAN UTD raha tu,,,,, kudadadeki
ReplyDeleteUnamuigilizia Yesu alivyopaa nini?
ReplyDeleteAu wataka mfuata huko huko aliko?
Haya jipe raha zako bwana
Michuzi,
ReplyDeleteShemeji yetu yuko Wapi???
Picha hii ingependeza sana kama angekuwa beneti nawe!
Na hii kauli yako ya kusema "Raha Jipe mwenyewe" inanitisha kidogo...
Michuzi, ukisema raha jipe mwenyewe nawaza punyeto. Samahani.
ReplyDeleteAnko michuzi hiyo nimekukubali ndugu yangu. Kama karate kid vile....
ReplyDeletekaka kama nakumbuka kama vile hii "foto" tulikupiga bagamoyo!! mwaka jana mwishoni kwenye mwezi wa novemba au nimekosea? sikuwahi kuiona kabla ya leo..
ReplyDeletekaka kama nakumbuka hii "foto" tulikupiga kule bagamoyo novemba mwaka jana, au nimekosea?
ReplyDeleteSir Issa VIPI KAKA.."..POZI MWANANA.."..BINTI WA TAITANIK.."
ReplyDeleteHivi Brother, Kaka Michuzi hivi wanaposema raha jipe mwenyewe wana maana hata kama ukitaka au ukikosa mwanamke basi raha uamue kujiraha(Masterbation a.k.a punyeto kwa lugha ya kwetu mexico punyeta?) Lakini Kaka umependeza kama vile nakusikia ukiimba kwa mbali I believe I can fly)version ya Robert Kelly.
ReplyDeleteWe anoni wa 10:28PM mbona mchafu hivo, mambo ya punyeto yanatoka wapi, hujui kumbembeleza mamsap nini, umebakia tu pumyeto, pundamilia we, hapa tunazungumzia picha aliyopiga michuzi, siyo busha lako, jongoo we!!
ReplyDelete