jana nimepata heshima ya kupiga picha harusi hii ya wadau wa ughaibuni ya newala. nawatakia maisha mema ya ndoa na tabasamu hizo zidumu milele

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2007

    Kumbe ndio maana michu jana hukutuwekea picha za stars, hukuenda mwanza ulikuwa na tenda. Safi sana kazi kwanza mambo mengine baadae

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2007

    mbona hujatuwekea majina...Michuzi bwana habari zako nunu nusu wakati mwingine ...big no no no

    Whomever they are!!! You guys look so good and remember love is not getting, but giving. Congratulations on your wedding.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2007

    Michu nina swali moja: Ungejisikiaje kama wadau tungekuwa hatutembelei blog yetu hii???, nafikiri ungekata tamaa ya kutuwekea vitu kama hivi.

    Sasa basi, wadau pia tunakata tamaa ya kuandika Comments kama Comments zetu unazi trash.

    Na mimi binafsi mbali ya picha ila kinachonivutia zaidi kwenye hii blog ni kusoma maoni ya wadau, nikikuta hamna maoni huwa nakosa raha kabisa.

    Ushauri: Usidharau maoni ya watu kwani ni kachumbali ya blog yetu hii. Thanx

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2007

    Kwesichenki: What iz the kozi of divosi?

    Ansa: The kozi of divosi iz mereji!

    Ninyi wanandoa....hiyo ni kwa ajili ya kuwachekesha tu!

    Nawatakila maisha marefu ya mapenzi na mafanikio!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2007

    Bibi Harusi mzuri...!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 03, 2007

    mbarikiwe !!! bi harusi umependeza sana yaani katika maharusi wa bongo umebana style yako pekee ya kichwani safis ana very classic !!! hamna makolokolo ya kubeba ngata kichwani that is much much better !!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 03, 2007

    she looks amazing!!! who are these?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 03, 2007

    We anony hapo juu una makengeza nini? Majina yao yapo, Lucy na Patrick, sasa wewe unataka majina gani?

    Nawatakia wana ndoma maisha mema yenye baraka tele. Msiache kumtegemea Mungu katika ndoa yenu. Yeye atawasaidia kuishi maisha ya upendo, amani, furaha pamoja na kuvumiliana.

    Mungu awasaidie kila mmoja kuwa mwaminifu kwa mwenzake.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 04, 2007

    Sheikh si ungetaja majina Bwana? Na wako wapi hawa?

    Maharusi mmependeza sana. Nyuso zenu za furaha na umri mdogo uliojaa matumaini. Mungu awaangazie NURU na muishi kwa kupendana na KULINDANA milele! Amen.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 04, 2007

    huyo dada anaitwa lucy shao. umependeza sana mdogo wangu. CONGRATULATIONS

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 04, 2007

    Wow,
    Lucy Francis; still looking gooood.

    all the best in your future life

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 04, 2007

    Wow, kumbe ni LUcy Francis, nilikajua kakiwa katoto enzi za Oysterbay primary school na sijawahi kukaona tena mbaka leo, Hongera sana.
    Kwakweli michizi , nakuomba uwe una elezea ,ili tuelewe sio una weka picha tuu na bila maelezo na tabia ya kutaja majina sehemu hazieleweki sana, Newala ni wapi, kwanini usitaje kama ilivyo? , sijui hii fani ya uandishi kwako ni hobbie au ni proffesional, au ni ndio waandishi wa kibongo ndio mlivyo?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 04, 2007

    Wewe anoy unayesema mwenzako ana makengeza wewe ndio unayo kwa vile Michuzi hajaweka majina. Kama umeyaona kwenye napkins hiyo ni wee uliye na muda wa kusoma hata napkins.

    Hivi unazania kila mtu an muda wa kupekua hata napkins?

    Sio vibaya kama picha imewekwa na majina yakawekwa pia.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 04, 2007

    B harusi yupo fine.. je tabia nazo vp au ndo kama aminia chifupa? angali bwana harusi usiwe unaibiwa na wakubwa bwana au cyo

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 04, 2007

    Hawa wamependeza sana. nawatakia kila la kheri, na maisha mema. Mwenyezi Mungu awajalie maisha marefu na muwe waaminifu.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 05, 2007

    Michuzi umekuwa mwepesi sana kupost habari za wengine lakini zako mwenyewe unazieka kapuni wakati si vibaya wadau wako wakazijua.
    Hivi wewe michuzi umeoa?

    kama ndio hebu weka picha za sherehe ya harusi yako. usiweke za wengine, jiweke na wewe mwenyewe!
    kama hakukuwa na mpiga picha wakati unao, basi tuwekee picha ya shemeji yetu japo tumtie machoni.

    Samahani sana kama nimekuudhi michuzi, ila naomba kutoa hoja kwani huu ukimya mimi nakuwa siuelewi

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 05, 2007

    Ahhh jamani mmependeza lucy mkakyaro,whr are u??hongera sana am so so hap 4 u...

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 05, 2007

    looking great Lucy. Absolutely gorgeous.
    Forts

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 05, 2007

    Looking great Lucy. Simply gorgeous
    Forts

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 05, 2007

    Looking great Lucy. Absolutely gorgeous.Forts

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 06, 2007

    Anony sijakupenda unapowatishia wakati wenzako ndo wanaanza maisha. Hivi kuna matukio mangapi katika jamii kama lile la Amina?
    Francis mwaya jinome na Lucy wako. Kamwe usimwazie mabaya. Kwanza uzuri wa Lucy si wa kulingwanisha. She looks nice beyond compare, Wow!
    Lucy, mimi ni mdada mwenzi na nimeshaolewa. Naomba nimsifie Francis, kwa kweli ni mweusi mzuri! Ndevu zake zinachangamsha, au siyo! Enjoy him. That is yours, given in public and i hope before the Lord!
    Congratulations all of you.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 06, 2007

    Anony hapo juu, huyo bwana harusi anaitwa Patrick K, na sio Francis. Francis ni jina la baba ya Lucy, anajulikana kama Lucy Francis Shao.

    ReplyDelete
  23. JAMANI MICHU, MBONA PICHA SIZIONI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...