Home
Unlabelled
ndoa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbe ndio maana michu jana hukutuwekea picha za stars, hukuenda mwanza ulikuwa na tenda. Safi sana kazi kwanza mambo mengine baadae
ReplyDeletembona hujatuwekea majina...Michuzi bwana habari zako nunu nusu wakati mwingine ...big no no no
ReplyDeleteWhomever they are!!! You guys look so good and remember love is not getting, but giving. Congratulations on your wedding.
Michu nina swali moja: Ungejisikiaje kama wadau tungekuwa hatutembelei blog yetu hii???, nafikiri ungekata tamaa ya kutuwekea vitu kama hivi.
ReplyDeleteSasa basi, wadau pia tunakata tamaa ya kuandika Comments kama Comments zetu unazi trash.
Na mimi binafsi mbali ya picha ila kinachonivutia zaidi kwenye hii blog ni kusoma maoni ya wadau, nikikuta hamna maoni huwa nakosa raha kabisa.
Ushauri: Usidharau maoni ya watu kwani ni kachumbali ya blog yetu hii. Thanx
Kwesichenki: What iz the kozi of divosi?
ReplyDeleteAnsa: The kozi of divosi iz mereji!
Ninyi wanandoa....hiyo ni kwa ajili ya kuwachekesha tu!
Nawatakila maisha marefu ya mapenzi na mafanikio!
Bibi Harusi mzuri...!!!
ReplyDeletembarikiwe !!! bi harusi umependeza sana yaani katika maharusi wa bongo umebana style yako pekee ya kichwani safis ana very classic !!! hamna makolokolo ya kubeba ngata kichwani that is much much better !!!
ReplyDeleteshe looks amazing!!! who are these?
ReplyDeleteWe anony hapo juu una makengeza nini? Majina yao yapo, Lucy na Patrick, sasa wewe unataka majina gani?
ReplyDeleteNawatakia wana ndoma maisha mema yenye baraka tele. Msiache kumtegemea Mungu katika ndoa yenu. Yeye atawasaidia kuishi maisha ya upendo, amani, furaha pamoja na kuvumiliana.
Mungu awasaidie kila mmoja kuwa mwaminifu kwa mwenzake.
Sheikh si ungetaja majina Bwana? Na wako wapi hawa?
ReplyDeleteMaharusi mmependeza sana. Nyuso zenu za furaha na umri mdogo uliojaa matumaini. Mungu awaangazie NURU na muishi kwa kupendana na KULINDANA milele! Amen.
huyo dada anaitwa lucy shao. umependeza sana mdogo wangu. CONGRATULATIONS
ReplyDeleteWow,
ReplyDeleteLucy Francis; still looking gooood.
all the best in your future life
Wow, kumbe ni LUcy Francis, nilikajua kakiwa katoto enzi za Oysterbay primary school na sijawahi kukaona tena mbaka leo, Hongera sana.
ReplyDeleteKwakweli michizi , nakuomba uwe una elezea ,ili tuelewe sio una weka picha tuu na bila maelezo na tabia ya kutaja majina sehemu hazieleweki sana, Newala ni wapi, kwanini usitaje kama ilivyo? , sijui hii fani ya uandishi kwako ni hobbie au ni proffesional, au ni ndio waandishi wa kibongo ndio mlivyo?
Wewe anoy unayesema mwenzako ana makengeza wewe ndio unayo kwa vile Michuzi hajaweka majina. Kama umeyaona kwenye napkins hiyo ni wee uliye na muda wa kusoma hata napkins.
ReplyDeleteHivi unazania kila mtu an muda wa kupekua hata napkins?
Sio vibaya kama picha imewekwa na majina yakawekwa pia.
B harusi yupo fine.. je tabia nazo vp au ndo kama aminia chifupa? angali bwana harusi usiwe unaibiwa na wakubwa bwana au cyo
ReplyDeleteHawa wamependeza sana. nawatakia kila la kheri, na maisha mema. Mwenyezi Mungu awajalie maisha marefu na muwe waaminifu.
ReplyDeleteMichuzi umekuwa mwepesi sana kupost habari za wengine lakini zako mwenyewe unazieka kapuni wakati si vibaya wadau wako wakazijua.
ReplyDeleteHivi wewe michuzi umeoa?
kama ndio hebu weka picha za sherehe ya harusi yako. usiweke za wengine, jiweke na wewe mwenyewe!
kama hakukuwa na mpiga picha wakati unao, basi tuwekee picha ya shemeji yetu japo tumtie machoni.
Samahani sana kama nimekuudhi michuzi, ila naomba kutoa hoja kwani huu ukimya mimi nakuwa siuelewi
Ahhh jamani mmependeza lucy mkakyaro,whr are u??hongera sana am so so hap 4 u...
ReplyDeletelooking great Lucy. Absolutely gorgeous.
ReplyDeleteForts
Looking great Lucy. Simply gorgeous
ReplyDeleteForts
Looking great Lucy. Absolutely gorgeous.Forts
ReplyDeleteAnony sijakupenda unapowatishia wakati wenzako ndo wanaanza maisha. Hivi kuna matukio mangapi katika jamii kama lile la Amina?
ReplyDeleteFrancis mwaya jinome na Lucy wako. Kamwe usimwazie mabaya. Kwanza uzuri wa Lucy si wa kulingwanisha. She looks nice beyond compare, Wow!
Lucy, mimi ni mdada mwenzi na nimeshaolewa. Naomba nimsifie Francis, kwa kweli ni mweusi mzuri! Ndevu zake zinachangamsha, au siyo! Enjoy him. That is yours, given in public and i hope before the Lord!
Congratulations all of you.
Anony hapo juu, huyo bwana harusi anaitwa Patrick K, na sio Francis. Francis ni jina la baba ya Lucy, anajulikana kama Lucy Francis Shao.
ReplyDeleteJAMANI MICHU, MBONA PICHA SIZIONI?
ReplyDelete