Home
Unlabelled
njenje
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi muhongo, huyu jamaa hajatoka UK, mbona kavaa pyjama
ReplyDeleteWaziri Ali- Katokea mbali huyo toka kwenye NUTA then JUWATA juzz Band. Kinanda alichopiga kwenye ule wimbo - "Nilikupeleka kwa Wakwe zangu, ukaonane na ndugu zako ee ee....! ndo kilimpaisha. Enzi hizo Organ ilikuwa fashen kwenye Jazz bands.
ReplyDeleteLakini jamaa ananyanyasa kinanda, si mchezo. Keep it up Waziri!
Na Waziri wake NYOTA!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteWe anony wa 10:40 mbona unachekesha acha ubaya kaka wa watu kapendeza na anaishi UK namfahamu we kwani unafahamu kila mtu anyeishi UK????????
ReplyDeleteyupi sasa hapo ndo mdau wa UK, ukiniuliza mimi nitakwambia huyo wa kulia michuzi fafanua
ReplyDelete