barabara ya sam nujoma rodi inakaribia kwisha ujenzi wake...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2007

    hii barabara inajengwa kisanii mno,bongo bwana tatizo sijui nini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2007

    Inamalizika au ndio wanaanza du nimeshinda kuelewa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2007

    Hizi ndizo kazi za Watanzania, sijui kama maendelea tutayafikia kweli, mambo ya 10% hayo, hata hii barabara nayo???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...