Home
Unlabelled
njia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
THE SILENT STALKER says.....Michuzi tangia lini MWENGE imekua uswazi????? Mwenge nowadays ni TOWN kaka?? TunaCLUB kubwa inayochangaya kuliko kote DAR Corner Baa, ITV, Nice Stand, NECTA, NEW WORLD CINEMA, TUT, University of Social Studies etc... Rekebisha kauli
ReplyDeleteNatumaini wafanyakazi wa benki mbalimbali bongo wamejirekebisha sababu customer service wengi wao hawajui na isitoshe majidai ya ajabu ajabu na ya kishamba kisa ni benki wanafanya kazi
ReplyDeleteSILENT STALKER NAONA SIKU HIZI UMEZIBWA MDOMO AIDHA NA MICHUZI AU HAO JAMAA WA WTM UTILITY.
ReplyDeleteNIMEPITIA MARA KIBAO BLOG HII YA MICHUZI NA KUJARIBU KUMUOMBA ATULETEE UPANDE WA PILI WA COIN JUU YA SUALA LA WTM UTILITY TENA KUTOKA TBS, TRA NA MIUNDO MBINU LAKINI HAKUNA ALILOTUSAIDIA.
ZAIDI ANAPITA NJE YA OFISI YA TBS, TRA, ANAONANA NA JK IKULU LAKINI ANAKUA BUBU HUKU WANYONGE TUKIWA TUMEACHA HEWANI JUU YA UTAPELI HUU.
KITU GANI KINACHOMFANYA AJISAHAU NA KUJIDAI ANAYALIA DIPU MAHANDAKI, TWANGA PEPETA MADA YA WTM ALIYOANZISHA IKIISHIA HEWANI.
HAYA BWANA JILIENI VYENU KWANI NDO KAWAIDA YA WABONGO WENGI. UKIZIMWA DOMO...AHAAAAA KIMYA KAMA MAJI YA MTUNGI. MOHD ABDULLAH MOHD