usiku huu wabongo wote walishereheka namna hii baada ya jk boyz kuibanjua bukina faso nyumbani kwao 1-0...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2007

    PAWASAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
    PAWASAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
    PAWASAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
    Herr Maximo please tell TFF to call Pawasa,if happy with him you put him in the team, OBRIGADO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2007

    wadau,kwa taarifa yenu ndani ya klabu ya Simba kuna watu wenye sauti ambao waligombana na Boniface Pawasa. Na ni watu hao hao ambao wana sauti TFF. Na ni watu hao hao wanamzibia Pawasa kwa kocha Maximo asimuite Taifa Stars. Please tuweke utaifa mbele,tuache chuki binafsi,kwa mchezo wa Msumbiji atatusaidia sana.si mmeyaona ya Mc Claren na Beckham?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2007

    Hiyo ni Taifa Stars. Inakera sana mkiita JK Boys!!Siyo timu ya mtu mmoja.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2007

    Kaka Misupu Acha Kututia Mchanga Wa Macho ..Watu Wako Twanga Hapo Na Wameambiwa Mikono Juu Wee Useme Wanashangilia JK BoyZ??? Kumbe Picha Zingine Unatufunga Magoli!!! Ila Kama Ni Ushangiliaji Basi Wa Bwawa La Maini...hahaha Bungu Ibariki Tanzania Japo Ziki .com..Mzozo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 17, 2007

    SENEGAL vs WAMAKONDE

    http://www.rewmi.com/Live-Mozambique-Senegal-0-a-0-VIDEO-_a2033.html?PHPSESSID=d54c5cd5c1e2cba0934159a71836ed8d

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 17, 2007

    Mdau wa hapo juu ondoa Usimba bwana, kama ndiye Pawasa nayemuona hapa Umangani anacheza hivi afahai, Victor anatosha sana. Cha muhimu bwana Stars wanahitaji Kiungo halafu washambuliajia, kama umefuatilia mabao yote ya stars yanafungwa na viungo and siyo strikers.... kwa maoni yangu Pawasa hafai kuna mabeki wengi sana bongo, Victor Costa, Carnavallo anacheza vizuri tu....

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 17, 2007

    SENEGAL O MSUMBIJI 0

    JUST IN!!!!

    NIAMBIENI WADAU HAYO MATOKEO YANAMAANISHA NINI KWETU?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 17, 2007

    THE SILENT STALKER says... acheni ujinga nyie kila mara pawasa pawasa fundisheni timu nyie kama mnaujua ukocha, Miaka yote mmepewa timu sasa kaja maximo kila mtu anajifanya anajua, mwaacheni Mbrazilo aendeleee kuchagua timu yeye ndio kocha wengine PLEASE SHUT UP.

    This is actually an INSULT to other players in the TEAM, they have done all this without Pawasaa now suddenly tunakaribia kuqualify ndio mnataka aje acheze 1 game ili tukiqualify mumuite HERO, HELL NO, maximo please continue with our plans, all we want is 2010, Ghana will be an Icing on the CAKE.

    Kama Pawassa is a good player enuf he will be selected if not mlie tu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 18, 2007

    Michu hiyo picha changa la macho au niseme umetufunga kamba mtu wangu, hao watu wanakula raha zao viwanja we unadai wanashangilia timu ya Taifa. Acha hizo!!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2007

    Matokeo ni mabaya kwa upande mmoja na ni mazuri pia kwa upande wa pili, kwanini ni mabaya? Kwa sare hiyo timu zenye nafasi kubwa ya kupita ni sisi na Senegal, iwapo sote tutashinda (Sen & Tz)wataopita ni Senegal kwa sababu ya record yao ya head to head against us. Ila pia matokeo ni mazuri kwasababu Msumbiji hawana matumaini makubwa kwa hiyo morali yao itakuwa chini which is good for us. Tukipata ushindi mzuri tutapita kama best loosers iwapo Senegal watashinda.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 18, 2007

    Hapo wanaimbiwa Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huooo*2......
    michu mshenzi weweeee,hao watu wako kwene starehe zao za mambo ya mirindimo mikono juuu wee unasema wanashangilia taifa starz! poleee kawadanganye wanao nyumbani,afu wee pliz hiyo timu isiiitwe JK boyz coz hiyo sio timu yake kama jamaa alivyosema hapo juu,iiitwe TAIFA STARZ kama ilivyozoeleka

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 18, 2007

    we unayejiita 'silent stalker' looks like una matatizo.watu wanatoa mawazo yao wewe unawaita wajinga,its not fair.mtu katoa wito Pawasa awe called Taifa Stars,we unasema mjinga,why?kwa nini usimkosoe bila kumtukana? Bwana Michuzi angalia hii tabia ya baadhi ya wadau wa li blog letu la nguvu sio nzuri.watu wakitoa maoni nia yao ni kujenga hata kama wanakosea.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 18, 2007

    we silent stalker problem yako ni nini hasa?wenzio kwa nini unawaita wajinga?au una tatizo ndo maana unajiita 'mnyatiaji wa kimya'au tuseme unam admire JACK THE RIPPER?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 20, 2007

    ...NGWASUMA...MIKONOJUU...;(

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...