
hilo papaizzz lisikustue.kuna mdau ambae ni mtaalamu wa matunda tunda kaanzisha globu yake na anatukaribisha soote tumtembelee hapa www.abdallahmrisho.blogspot.com
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani eh,mi nna udaku.amina chifupa kaonekana njombe akichukua omu za kugombea ujumbe wa NEC.
ReplyDeleteMoja ya faida za HIV/AIDS ni kuwa imewafanya watu kupenda matunda. Kuna kipindi watanzania walidhani matunda ni kwa ajili ya watoto tu.
ReplyDeleteni wa Bukavu?
ReplyDeleteMichuzi unataka kumpiga mtu kipapai nini?
ReplyDeletewadau ... nawezaje kuanzisha blog jamani? hebu nisaidieni ili niwe hewani na miye!!!
ReplyDeletewatu bwana!! kuiga kunya kwa tembo......
ReplyDeletewameona blog yako imechanganya wanata nao wafanye. nawe michuzi unawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa, unajifanya mkarimu kwao kwa kutupa mwaliko. WAambie ukweli na uwapeleke kwa SANGOMA wako alikurogea mpaka umefikia hatua hii.
nawakilisha!!
Anoni wa Tarehe June 5, 2007 8:33:00 PM EAT, kuna server kibao zinatoa nafasi ya wewe kuanzisha blog, ila hawa google naona wanaongoza kwa kukupa nafasi kubwa na uhuru zaidi.
ReplyDeleteNdo maana kina Michuzi wote wako huko. Nenda www.blogspot.com au http://www.blogger.com/home
Than CREATE BLOG, utaregester, kama huna email ya gmail tafuta mtu aliyenayo akuinvite au weka yako hapa hadharani ntaku invite