Home
Unlabelled
pepetaz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi wacha kuwafagilia hao Twanga Pepeta bwana kwenye hii blog yako maana kila kukicha ni Twanga na Aisha Madinda,, kwanza nimeshaanza kukuhisi vibaya na huyo Aisha maana yeye ndo ametawala hii Blog kila leo Aisha Aisha na hujaanza leo kupost picha zake humu hebu kuwa muwazi kwanza kama kweli wangekuwa wanajua Music si wangepata Kili Music Award??? Hebu kuwa muungwana kidogo hata kuafagilia waliochukua tuzo hiyo, sio kila siku Twanga tuuu na Aisha,, naomba kuwasilisha maoni haya na usiyabanie.......... hehehehe
ReplyDeleteWabongo kwa kushoboka na watu waishio ughaibuni wamezidi manake mtu kama umetokea nje ya nchi unaweza kufanya lolote unalotaka hususani kwa hawa madada zetu sijui wanafikiri utaondoka nao? Michuzi mwenyewe ni mmoja wa WASHOBOKAJI ooh mara mdau kutoka Swed... mara U.S mradi tu kujikomba. Acheni hizo wajameni!!!
ReplyDeletewewe anon 12:16:00.
ReplyDeleteusijilinganishe na michuzi wala asha baraka...wenzio wanakuja ulaya,marekani kama kawaida,so hawawashangai watu wanaotoka majuu.Wanajua nani anafanya kazi proffesional,nani anabeba box.so stop writing ur rubbish.
michu huyo dada mwingine nafikiri atakuwa anaitwa MWANTUMU.
ReplyDeleteAisee huyu jamaa anaitwa Andrew Mungereza nilisoma naye Kibaha Sekondari...ni msomi na anapenda kula bata (raha)...anafagilia sana mambo ya mugongo mugongo ya Twanga
ReplyDeleteHuyo mdau nimesoma naye Kibaha Sekondari..anapenda raha lakini ni msomi...atakuwa engineer baada ya mwaka mmoja...jina lake ni Andrew Mungereza...
ReplyDeletejamani huyo kijana wetu akiwa na dada'ake. habebi box wala nini - jamaa atakuwa injinia wa umeme baada ya kama mwaka mmoja na nusu..na ni kichwa kama ukitaka kujua zaidi. kwahiyo, acheni playa-hating mazee! anyway, big up michuzi, na kwa andy, have fun with ur family...
ReplyDeleteBunga Bunga!
Anony 12:58 kuja majuu kila siku sio kujua majuu kulivyo...hii kuja kukaa mwezi na kuondoka sio kitu...njoo uishi ndio utajua nini watu wanaosema majuu nini maana yake...
ReplyDeleteonce ukishaingia kwenye system ndio unajua ....hao kila siku wakija na kuondoka ....kasumba haibadili...iwe wanamjua mtu mwenye professional au anabeba box...kwa taarifa yako hata kubeba box ni professional huku....nyie wabongo kwa kudharau kazi za wenzenu wakati wakija bongo ndio mnatuganda kila siku...asubuhi asubui mko mlangoni...simu hampigi kazi kupage watu tu......
Duu andrew amebadilka kishenzi. Namkumbuka tulianza nae kusoma form 1 ilboru kabla maisha kwa kitemango hayaja mshinda akaamia kibaha. Ila mshikaji namkubali ana akili mno.
ReplyDeleteMichuzi hayo unayoyafanya ni muhimu sana kwa sie tuliopo mbali na home kujua nini kinaendelea huko nyumbani. Mtu yeyote mwenye akili timamu kamwe hawezi kuropoka eti Michu hivi ama vile juu ya hayo uyafanyayo. Nakupa hongera sana kutupa habari kem kem juu ya Twanga na bendi zingine kwani huu ndo muziki wetu (Tanzania Music) sio Fleva...Hongera Michu...Twataka mavituz live sio ujinga wa Playback.
ReplyDeletenimeipenda rangi ya ngozi ya huyo dada mwingine. hiyo ya Asha....mmmmmmmm??!!
ReplyDeletebro misupu mambo gani hayoo!!!!wabongo bado wanayo tuuuu~~sura fanta,mikono cokacola na miguu pepsi,mambo ya mama mwenye nyumba hayo!!!!
ReplyDeleteHuyu dada Asha anaanza kufanana na Michael Jackson sasa,angalia huyo dada mwengine na ngozi yake natural anavopendeza,Asha izo bleach punguza dada.
ReplyDelete