da'asha mkurugenzi wa twanga pepeta akiwa na dada ambaye jina sikupata mara moja wakipozi na mdau toka bremen jana bustani ya embe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2007

    Michuzi wacha kuwafagilia hao Twanga Pepeta bwana kwenye hii blog yako maana kila kukicha ni Twanga na Aisha Madinda,, kwanza nimeshaanza kukuhisi vibaya na huyo Aisha maana yeye ndo ametawala hii Blog kila leo Aisha Aisha na hujaanza leo kupost picha zake humu hebu kuwa muwazi kwanza kama kweli wangekuwa wanajua Music si wangepata Kili Music Award??? Hebu kuwa muungwana kidogo hata kuafagilia waliochukua tuzo hiyo, sio kila siku Twanga tuuu na Aisha,, naomba kuwasilisha maoni haya na usiyabanie.......... hehehehe

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2007

    Wabongo kwa kushoboka na watu waishio ughaibuni wamezidi manake mtu kama umetokea nje ya nchi unaweza kufanya lolote unalotaka hususani kwa hawa madada zetu sijui wanafikiri utaondoka nao? Michuzi mwenyewe ni mmoja wa WASHOBOKAJI ooh mara mdau kutoka Swed... mara U.S mradi tu kujikomba. Acheni hizo wajameni!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2007

    wewe anon 12:16:00.

    usijilinganishe na michuzi wala asha baraka...wenzio wanakuja ulaya,marekani kama kawaida,so hawawashangai watu wanaotoka majuu.Wanajua nani anafanya kazi proffesional,nani anabeba box.so stop writing ur rubbish.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2007

    michu huyo dada mwingine nafikiri atakuwa anaitwa MWANTUMU.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2007

    Aisee huyu jamaa anaitwa Andrew Mungereza nilisoma naye Kibaha Sekondari...ni msomi na anapenda kula bata (raha)...anafagilia sana mambo ya mugongo mugongo ya Twanga

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 10, 2007

    Huyo mdau nimesoma naye Kibaha Sekondari..anapenda raha lakini ni msomi...atakuwa engineer baada ya mwaka mmoja...jina lake ni Andrew Mungereza...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2007

    jamani huyo kijana wetu akiwa na dada'ake. habebi box wala nini - jamaa atakuwa injinia wa umeme baada ya kama mwaka mmoja na nusu..na ni kichwa kama ukitaka kujua zaidi. kwahiyo, acheni playa-hating mazee! anyway, big up michuzi, na kwa andy, have fun with ur family...

    Bunga Bunga!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2007

    Anony 12:58 kuja majuu kila siku sio kujua majuu kulivyo...hii kuja kukaa mwezi na kuondoka sio kitu...njoo uishi ndio utajua nini watu wanaosema majuu nini maana yake...
    once ukishaingia kwenye system ndio unajua ....hao kila siku wakija na kuondoka ....kasumba haibadili...iwe wanamjua mtu mwenye professional au anabeba box...kwa taarifa yako hata kubeba box ni professional huku....nyie wabongo kwa kudharau kazi za wenzenu wakati wakija bongo ndio mnatuganda kila siku...asubuhi asubui mko mlangoni...simu hampigi kazi kupage watu tu......

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 10, 2007

    Duu andrew amebadilka kishenzi. Namkumbuka tulianza nae kusoma form 1 ilboru kabla maisha kwa kitemango hayaja mshinda akaamia kibaha. Ila mshikaji namkubali ana akili mno.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 10, 2007

    Michuzi hayo unayoyafanya ni muhimu sana kwa sie tuliopo mbali na home kujua nini kinaendelea huko nyumbani. Mtu yeyote mwenye akili timamu kamwe hawezi kuropoka eti Michu hivi ama vile juu ya hayo uyafanyayo. Nakupa hongera sana kutupa habari kem kem juu ya Twanga na bendi zingine kwani huu ndo muziki wetu (Tanzania Music) sio Fleva...Hongera Michu...Twataka mavituz live sio ujinga wa Playback.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 11, 2007

    nimeipenda rangi ya ngozi ya huyo dada mwingine. hiyo ya Asha....mmmmmmmm??!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 11, 2007

    bro misupu mambo gani hayoo!!!!wabongo bado wanayo tuuuu~~sura fanta,mikono cokacola na miguu pepsi,mambo ya mama mwenye nyumba hayo!!!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 12, 2007

    Huyu dada Asha anaanza kufanana na Michael Jackson sasa,angalia huyo dada mwengine na ngozi yake natural anavopendeza,Asha izo bleach punguza dada.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...