Home
Unlabelled
picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwani hiyo miua na mishada mngeviweka pembeni na kupiga picha makini ingekuwaje?
ReplyDeletewanasheria kibao lakini haki za binadamu migogoro.
ReplyDeletenaomba kuuliza mawakili wakujitegemea kwa kingereza ndio nini?
ReplyDeleteNa malawyer Tanzania wanaspecialized au kila mmoja anaweza kushughulikia mambo yeyote? Kama nikiwa na shida ya
immigration, entertaiment, cooperation, divorce, criminal etc kuna directory ya kujua ni lawyer gani ana ujuzi wa mambo gani au lawyer yeyote anaweza kunishughulikia?
Thanks
Napenda kukupongeza Jaji Mkuu Mh.Barnabas Samatha kwa kazi nzuri unayoifanya hadi sasa maoni yangu leo ni kwamba naona kama fani hii ya sheria kidogo imeanza kuwa rahisi nimefuatilia takwimu za idadi ya mawakili kuanzia uhuru hadi leo inaonyesha miaka hii ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la mawakili wapya kila mwaka, nadhani hii itachangia kuwa na mawakili walio na uwezo mdogo kulinganisha na mawakili waliopita, wengi mawakili wa sasa ni wadogo na hawana exposure kubwa na kazi za kisheria hasa katika kufanya kwa vitendo hakuna challege yoyote tofauti na zamani. nasema haya kwani nimekaa kwenye taaluma hii takribani miaka saba sasa naona wanasheria wa sasa wengi kwa kweli ni wachanga sana internship kidogo,hata mahakamani wanakabiliwa na ushindani mkubwa ,hawana uwezo wa ku-urgue kabisa na wengine hata Court rules and procedure hawajui yaani naona kama sheria inashuka hadhi kwa jinsi mnavyowaburuza vijana kwa wingi bila kuwachuja.wapeni muda wa kutosha kukaa kwenye Chambers tofauti wapate uzoefu wa kutosha kabla ya kufanya Bar Exam.
ReplyDeleteAkhsante.
huyo aunty mwenye afro ndo wale niliosema aunty zangu wa dmello family, si mchezo family yetu tunavipaji.
ReplyDeletemara mwaka ujao mnasikia mtukufu rais aisha habib, watu weweeeee...
Aisha Habib mhhhh wee natamani ningekujua..
ReplyDeleteHao kina dmello mbona umewang'ang'ania hivyo...Nisoma comment moja kwenye mapambo ya harusi ...watu walikushushua kuwa sio Monica Dmello wako leo tena huku mawakili" basi ndio wale aunty zangu niliosema...." Hey lady ...usipende kujulikana kupitia migogngo ya watu...fanya matusi yako watu watakufahamu...kwanza huyo ni aunt ..je angekua mama au dada yako wengine tusingepumua huku....
Wabongo mmezidi kudandia lift za watu ndio maana sio wengi tunaoendelea kwa vile aunt akiwa wakili basi wengine wote holla...kila mkitembea mimi aunt yangu ...ni so and so...Get a life
Jamani ,ebu tuwe waungwana kidogo..kwani kumsifia mtu kuna ubaya gani na kama anastahili?? sasa kama hamjui huyo dada basi ndio mpigania haki za kina mama ,Ndio sasa Rais wa chama cha wanasheria Tanzania baada ya Rwechungura!!kwani hamsomi magazeti na kuangalia Luninga jamani..huyo dada anastahili pongezi...tuache roho kutu!!ana mambo mengi na yupo Tawla..jamani enhee ndio kina Demello hao....namuadmire sana huyu dada maana namjua sanaa!!!!Hongera dada keep it up..
ReplyDeleteAfadhali we anony uliyeamua kumgea ukweli wake huyo Dada Aisha! yaani anaiudhi huyu dada! Sijui ana kaushamba fulani au ndio uswahili wenyewe! kujifanya mjuzi wa kila kitu..
ReplyDelete