raha jipe mwenyewe, ndo usemi wa siku hizi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2007

    MICHUZI KAKA YANGU...NAOMBA NIKUELEZE UKWELI...SISI WASOMI WA BLOG YAKO TUNAKUESHIMU SANA NA KUAPPRECIATE WHAT YOU DO SO MUCH...LAKINI IT WOULD BE SO APPRECIATED IF YOU RETURN THE SAME APPRECIATION TO US..

    SISI TUNASOMA YOTE UNAYOYAWEKA HUKU NO MATTER THE CONTENTS....NA WEWE WATU WAKIKUTUMIA COMMENTS KAMA HAZINA MATUZI NI VIZURI UZIWEKE....WATU WANAPOTEZA MUDA WAO KUCHANGIA MAWAZO KWENYE JAMBO LOLOTE UNALOWEKA HUKU LAKINI KAMA MTU HAJAENDIKA KUTOA MAONI KUPITIA LEFT WINGS ZAKO BASI HUYAWEKI HATA KAMA HAMNA ADULT OR ABUSED WORDS IN IT...

    SIO VIZURI KAMA UKO BIAS BASI USEME TOKA MWANZO KAMA MTU AKITUMA COMMENTS ZA KUMSIFIA FULANI NA MIMI SIMPENDI BASI SITAWEKA HUMU KAMA

    DO NOT BE HYPOCRITE KAMA UNAWEKA COMMENTS WEKA ZOTE AS LONG HAZIMTUJANI MTU.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2007

    MISUPUU NINI TENA?!UNATAKA KUPAA KWENDA MBINGUNI!

    ReplyDelete
  3. Michuzi, Hayo ni mambo ya yoga au Kunfuu?!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2007

    Raha jipe mwenyewe, mwenzaki anajazia

    ReplyDelete
  5. kaka umemuelewa huyo hapo juu kuhusu upendeleo(yeye ameita BIAS), mimi nafikiri angekuwa specific yaani ni maoni gani alitoa na hayakuchapishwa, nafikiri huna sababu ya kumbania mtu kama hajatukana! Na hili neno lina maana gani "HAZIMTUJANI MTU"?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 11, 2007

    Hilo zoezi ulinyanyua mguu kwa muda gani maana hapo ulipo uko kwenye jiwe au msingi wala usitudanganye kuwa ulikuwa unakimbia...!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2007

    MICHIZI LETE HABARI ZA TANESCO TAFAZALI.

    NASIKIA WATAKA KUFUNGA LUKU NCHI NZIMA ILA KIWA MWENYE MITA ZAMANI ANATAKIWA ATOE MIJIHELA KANA NDO ANAWEKA UMEME UPYA...
    INACHEKESHA KAMA WAO WAMEAMUA KUBADILI SYSTIM INAKUWAJE WANANCHI WAGALAMIKE??? NAKUOMBA BABA EBU FATILIA HILI KWA KINA
    MDAU

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 11, 2007

    mjomba misupu jezi ulovaa ni no 1 ila sikumbuki lini mara ya mwisho bwawa la maini lilishika namba 1, sie MAN UTD raha tu,,,,, kudadadeki

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 11, 2007

    Unamuigilizia Yesu alivyopaa nini?
    Au wataka mfuata huko huko aliko?
    Haya jipe raha zako bwana

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 11, 2007

    Michuzi,
    Shemeji yetu yuko Wapi???

    Picha hii ingependeza sana kama angekuwa beneti nawe!

    Na hii kauli yako ya kusema "Raha Jipe mwenyewe" inanitisha kidogo...

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 11, 2007

    Michuzi, ukisema raha jipe mwenyewe nawaza punyeto. Samahani.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 12, 2007

    Anko michuzi hiyo nimekukubali ndugu yangu. Kama karate kid vile....

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 12, 2007

    kaka kama nakumbuka kama vile hii "foto" tulikupiga bagamoyo!! mwaka jana mwishoni kwenye mwezi wa novemba au nimekosea? sikuwahi kuiona kabla ya leo..

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 12, 2007

    kaka kama nakumbuka hii "foto" tulikupiga kule bagamoyo novemba mwaka jana, au nimekosea?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 13, 2007

    Sir Issa VIPI KAKA.."..POZI MWANANA.."..BINTI WA TAITANIK.."

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 16, 2007

    Hivi Brother, Kaka Michuzi hivi wanaposema raha jipe mwenyewe wana maana hata kama ukitaka au ukikosa mwanamke basi raha uamue kujiraha(Masterbation a.k.a punyeto kwa lugha ya kwetu mexico punyeta?) Lakini Kaka umependeza kama vile nakusikia ukiimba kwa mbali I believe I can fly)version ya Robert Kelly.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 16, 2007

    We anoni wa 10:28PM mbona mchafu hivo, mambo ya punyeto yanatoka wapi, hujui kumbembeleza mamsap nini, umebakia tu pumyeto, pundamilia we, hapa tunazungumzia picha aliyopiga michuzi, siyo busha lako, jongoo we!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...