nani kasema wazee wetu walikuwa hawapendi michezo??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2007

    sio Rashid huyu ?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2007

    KAWAWA KUMBE ALISHAWAHI KUWA REFA?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2007

    Hii itakuwa ni zile mechi za Wabunge na Wakuu wa Mashirika and the like ambazo huchukuaga nusu saa tu.
    Dakika 90 hawawezi hao. dakika 90 si mchezo wewe!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2007

    FOUR-WHEEL-DRIVE GEAR....

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2007

    Michuzi picha kama hizi ndiyo zilizotufanya tupende website yako...usipoteze mwelekeo endelea kutuletea picha za kumbukumbu pamoja na nyinginezo lakini!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2007

    we Modu! babau yako kumbe alikuwa anajua mpira how come wewe soka zero???

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2007

    jamani, taratibu. Tuna hakika alikuwa refarii au alikuwa anacheza ngoma za kienyeji? Maana kule kwetu hata wacheza mganda wanavaa mashati meupe na suruali na kalamu mfukoni kama maafisa vile........

    ReplyDelete
  8. Mzee bado anaendelea kuchezesha, lakini nje ya uwanja!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...