mdau wa BKS GLOBAL LTD Consulting Engineering and Management ya dar katuletea zawadi hii sasa hivi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2007

    ndo yale yale ya moja jumlisha moja ni kumi na moja! wazazi kazi tunayo.tena ukute huyu Peter kila term wazazi wake wanamlipia mamilioni school fees kisa eti inteneshno skuli(ongeza na neno inglish midiam). ukizingatia hao kina Peter ndo taifa la kesho,mh! naogopa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2007

    Mambo ya expantion hayo...kweli peter uko funny!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2007

    Michuzi, Hiyo njia aliyotumia ku-expand hiyo hesabu nimeipenda sana. Unajua kila kitu kina formula zake, kwa watu kama sisi ambao hesabu ni kama lugha ya kichina basi unalewa sawa sawa ukiulizwa expand. Haaaa haaaa

    FC

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2007

    Haha Haha...hiyo njia nimeipenda ya ku expand na tena kaandika ''e.t.c.'' maana yake inazidi ku expand...haha...hapo ningekuwa mwalimu ningezimia kwa kucheka

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2007

    kudadadeki bonge la hasabati mwanawane, , , , , , ,

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2007

    Ila kwa peter hiyo hesabu ipo juu sana. Peter katumia akili za hali ya juu kuliko mnavyofikiria.

    Huyo mwalimu ndio kachemsha hakumalizia swali which means peter katunga lake.

    hapo ilitakiwa kuwa either
    1. Expand using Taylor's series or
    2. Expand Using Maclaurian series.

    Sasa peter yeye katumia Peter series halafu jamaa anampa mchanjo hiyo ni 100%

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2007

    Halafu mwanaume mbona kazi ipo???

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2007

    a(n) + a(n-1)*b + a(n-2)*b(3) + ... + a(2)*b(n-2) +a*b(n-1)+ b(n)

    where, (n). (n-1) ...etc. are the degree order; power or exponent.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 02, 2007

    Naona anon juu hapo katumia ''pascal's triangle''. safi sana

    michuzi sasa leta na Hydrocarbons na benzene na Kohroch's law of ionic mobility,

    Ila hata na Portfolio management pamoja na intertional finance nazo ni muhimu ili tuwe na uwanja wa wataalam au wataaluma

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 02, 2007

    There are no stupid questions, just stupid people

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...