
duh! ati kumbe na miye ni selebriti. sikujua hivyo hadi tovuti mpya iliyoanzishwa karibuni kuhusu maselebriti wa bongo itwayo bongocelebrity.com iliponiomba kufanya inyavyuu na mimi. nimehemewa sana na ombi hilo na sijui niseme nini kwa hayo. ukitaka kusoma intavyuu hiyo bofya hapa
Mzee wewe ni selebriti wa uhakika !Kumbe ulikuwa hujastukia?:-)
ReplyDeleteoyaaaa michuzi celebrity gani anabeba photo me za kizamani unaitaji mchango wa kitaifa since u'r one of them
ReplyDeleteKumradhi hapa si mahala pake swala hili ninalopitisha hapa ila ninaomba kuitumia nafasi hii ili uufikishe huu ujumbe:
ReplyDeleteWebsite ya UHURU Publications ipo shagarabagara kwenye http://www.uhuru.info/safu_ya_mzobora.htm ukibovya kwenye picha ya Rais Kikwete unapelekwa kwenye matangazo ya michezo... kweli walikusudi iwe hivyoo??? (==aDk==)
Michuzi, Celebriti Taifa Stars wanacheza na Burkina Faso keshokutwa tupe update ya maandalizi maana hatujawasikia humu tangu baada ya Senegal.
ReplyDeleteIN THIS COUNTRY, ANYTHING CAN BE A CELEBRITY...EVEN A COCKROCH CAN BE A MEGA CELEBRITY!!!!!!!!!
ReplyDeleteMichuzi,good interview na Bongo Celebrity na nimeona kwamba wewe katika vitu ambavyo hupendi na vinavyokupotezea muda ni usingizi? nimestuka sana naomba swala hili ulifikirie upya kwani ni moja ya vitu vinavyopumzisha mwili na akili,ntakutafutia faida zake lakini mi nakushauri upumzike sana,tafuta mbinu mbalimabli za still kumudu kazi zako ili ufanikiwe katika fani hii lakini ongeza muda wa mapumziko,jiandae kwa ilo kwani ukufika age ambayo u can not do this anymore what would you do?tega mitego,andaa courses za kulipia kuwa na vijana wako then watume street,wewe bakia nyuma yao.
ReplyDeletethanks.
Michuzi, mimi siku moja nilikuwa nawahi home, niangalie update kwenye Blog yako, ndio nilale, kesho job. Sasa ile kutoka nje ya hiyo sehemu niliyokuwa najipa raha, nikakuona. Nikashindwa kukustua kwamba mwanangu vipi kuna update yeyote? au nikifika home nilale tu. Ma celebrity hamchelewi kumtoa mtu nishai. Leo nimejua kuwa wewe kawaida tu. Nikikuona this time nitakustua. Good JOB! OC-Sinza'
ReplyDeletewe michuzi we,kesho Taifa Stars inakipiga na Burkina Fasso huko Ougadouogou,mbona huwashtui wadau kuhusu ili gemu?
ReplyDelete