wadau wa ujerumani walisherehekea jana ushindi wa staaz pamoja na sherehe kubwa ya harusi ya Watanzania wawili walioamua kuupa kisogo ukapera.Hawa ni Bi Jasintha na bw. john bosco harusi hiyo iliyofana sana ilifanyika katika mji wa gelsenkirchen. juu ni maharusi hao, ikifuatiwa na wadau wa kutoka mjini wa augsburg, karibu na Munich. toka shoto ni malumbo s. malumbo, othman ukindo na mc wa shughuli hiyo aboubakar mwana wa liongo wa redio DWelle mjini Bonn. chini ni kinadada wa maua. nyepesi nyepesi ni kwamba idadi ya wabongo inazidi kuongezeka ujerumani.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2007

    michuzi hamna coment kweli mpaka saa izi? au unabana? kumbe tz tuna saloon nzuri kama majuu ni hivi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2007

    inapendeza sana kuona wadau wanaubgana!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2007

    Wamependeza.. isipokuwa wangefunguia harusi yao bongo ndio wangependeza zaidi. Ebwana harusi za bongo siku hizi sio mchezo!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2007

    Jamani kwa wabongo ambao wako Ujerumani tuwasiliane basi jamani. Hata mimi niko Ujerumani.Niko Saxony

    ReplyDelete
  5. John Bosco? huyu bwana anafanana mno na John Bosco niliyemaliza naye darasa la saba mwaka 1974 pale shule ya msingi Mfaranyaki, Songea. sijui ndiye?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2007

    point of information,MC siku hizi anaitwa 'msherekeshaji',mpo hapo wadau?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2007

    Mnawaonea wivu wamependeza sana na Harusi ilifana sana. Ulaya ni Ulaya tu hata kama hamna Saloon nzuri.wanameremeta.watu walikunywa na kula maanjumati mpaka wameacha

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 19, 2007

    arusi bab kubwa, sema gym ni muhimu

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 21, 2007

    Hivi huyo wa pili kutoka kulia siyo UMBE huyo?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 23, 2007

    mumu aina gani??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...