ze handakizz iz finish naw lakini zimebaki ze shimozz kibao in dar. yu will sii zem everiwea bikoz ze lamiz ni nyembembaz na kwa chini hamna kituzz. hohohohoooo kiinglishi changu naona sijachacha sana wadau, au vipi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2007

    Sir ISSA VIPI MZEE..LUGHA MPYA HIYO SIYO..JE UNGEKUWA UMEPATA ."..TEMBO.."..NINI

    ReplyDelete
  2. mdau unayependa kuniita sir issa. nashukuru kwa michango yako ya mara kwa mara ila hilo 'sir' siliafiki, sistahili na linanikera. tafadhali naomba uliache, halinipi raha. samahani kama nitakuwa nimekukwaza

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2007

    Is ze handaki filled by udongo au ze lami???/
    If iz ze udongo zen kazi bado.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2007

    Kaka michuzi usiogope wewe, mawaziri wetu na wabunge wanajiita Dr. na wengine Prof, wakati hiyo elimu hawajaisotea, tusonge tu kaka...ndio tanzania yetu!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2007

    BILA SAMAHANI NITAACHA KUKUITA "SIR".!!!..ISSA HABARI ZA LEO USTAAZ..MIMI NDIYE YULEE ANAYEKUITA (Sir ISSA)POLE SANA KWA MAUMIVU YA MUDA MREFU..MREJEE MUUMBA UNISAMEHE USTAAZ..NINGEFURAHI KAMA UNGENIHAKIKISHIA MSAMAHA...USTAAZ..NAAM..".MIMI (MAN UNITED) NA KUNA SIR ALEX F (MTANI WANGU WA JADI WEWE) NA WEWE (BWAWA LA MAINI).."..SAMAHANI NILIVUUKA MIPAKA NA POLE KWA UVUMILIVU MKUBWA.."..KWELI WEWE MVUMILIVU...

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2007

    Anon wa June 14, 2007 8:42:00 PM EAT. AKSANTE KWA KAULI YAKO NJEMA... MIMI NIMEMTAKARADHI USTAAZ ISSA ....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...