Home
Unlabelled
shimozz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sir ISSA VIPI MZEE..LUGHA MPYA HIYO SIYO..JE UNGEKUWA UMEPATA ."..TEMBO.."..NINI
ReplyDeletemdau unayependa kuniita sir issa. nashukuru kwa michango yako ya mara kwa mara ila hilo 'sir' siliafiki, sistahili na linanikera. tafadhali naomba uliache, halinipi raha. samahani kama nitakuwa nimekukwaza
ReplyDeleteIs ze handaki filled by udongo au ze lami???/
ReplyDeleteIf iz ze udongo zen kazi bado.
Kaka michuzi usiogope wewe, mawaziri wetu na wabunge wanajiita Dr. na wengine Prof, wakati hiyo elimu hawajaisotea, tusonge tu kaka...ndio tanzania yetu!
ReplyDeleteBILA SAMAHANI NITAACHA KUKUITA "SIR".!!!..ISSA HABARI ZA LEO USTAAZ..MIMI NDIYE YULEE ANAYEKUITA (Sir ISSA)POLE SANA KWA MAUMIVU YA MUDA MREFU..MREJEE MUUMBA UNISAMEHE USTAAZ..NINGEFURAHI KAMA UNGENIHAKIKISHIA MSAMAHA...USTAAZ..NAAM..".MIMI (MAN UNITED) NA KUNA SIR ALEX F (MTANI WANGU WA JADI WEWE) NA WEWE (BWAWA LA MAINI).."..SAMAHANI NILIVUUKA MIPAKA NA POLE KWA UVUMILIVU MKUBWA.."..KWELI WEWE MVUMILIVU...
ReplyDeleteAnon wa June 14, 2007 8:42:00 PM EAT. AKSANTE KWA KAULI YAKO NJEMA... MIMI NIMEMTAKARADHI USTAAZ ISSA ....
ReplyDelete