mojawapo ya mashimozzz kibao dar likipiga mwayo katikati ya barabara ya samora na ohio leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2007

    Sir ISSA jinsi wanavyotengeneza /ziba hayo mashimo tunashukuru wameanza kurekebisha lakini hivi wanauhakika na wanachoziba au mpak upige picha ???.."..NI MIEZI MICHACHE TU UTAANZA KUPIGA PICHA TENA NA KUWEKA HUMUNDANI YATARUDI VILEVILE..." ..TUPE PICHA ZA MIKOANI INAELEKEA UHUNI HUU UKO KILA MAHALI..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2007

    Ebwana hilo shimo jinsi lilivyo kubwa siamini kama wameliacha bila hata ya kuweka worning kwa madereva kwamba kuna shimo kubwa,kweli kitu kama pembe tatu za worning zinakost kiasi gani. watu wajiji please niambieni?watu wanalipa tax ya barabara lakini wanakosa service ndogo kama hiyo!Halafu kitu kingine Utakuta barabara inawekwa TUTA(for speed reduction)lakini lile tuta haliwekwi alama yoyote!!!?? sasa kama ndo mara yako ya kwanza unapita ktk barabara hii lets say usiku utajuaje kama kuna tuta?si yapakwe hata rangi nyeupe ili yaonekane kiurahisi.!Driving licence ya bongo haikubaliwi ughaibuni kwa sababu kama hizi za alama muhimu barabarani.Please mr MICHUZI naomba uwaeleze watu wa city,vitu kama hivyo vinaonekana vidogo lakini muhimu sana hasa kwa USALAMA wa watu barabarani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...