mapanga shwa shwa....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2007

    Mimi naomba maelezo ya yule mrembo ulimweka akiwa airport anakwenda sijui wapi vile kushindania sijui ilikua ni mashindano ya nini?

    Flavia ulituwelea mwanzo mpaka mwisho na yule ungeweka hivyo hivyo. Au aliondoka na kamera zikimsindikiza airport akarudi kimya kimya.

    Unajua comments zetu ingawaje ziko harsh sometimes lakini nikama za American idol show Judge Simon cowel.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2007

    MZee michuzi tushibishe na pic za Mwanza basi , mambo ya senegal na TZ, tutafurahi sana, si unajua sisi wapenda soccer..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2007

    Michuzi, nipe jina la muosha magari huyo, maana utadhani jua lachomoza toka kwa kioo cha gari. Nice picture, heavily unpixellated

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2007

    Wapi WTM utility...........

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2007

    Michuzi najua wewe umecheza sana karate Zanaki naomba tuambie hiyo staili gani naona hata sijawai kuona wakiifundisha enzi zako zanaki.Au umeipata katika safari zako ughaibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...