Home
Unlabelled
namba 10
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ana akili huyo.Anavyojibu maswali bungeni utapenda. Majibu yake ni Short and clear.
ReplyDeleteTofauti na wakuu wetu wa sasa akijibu swali anatoa hotuba amayo akimaliza jibu unakuta hotuba hiyo inazua maswali zaidi.
Na bungeni ndio kabisa ukiuliza swali jibu utakalopata litakuacha hoi! Utayajua hata usiyotaka kujua maana waziri ataanza kwa kumpongeza muuliza swali kwa kuoa karibuni,pia atampongeza kwa kuja na hawara yake na mama mkwe wa hawara yake bungeni na kulitaka bunge litambue uwepo wao na atawasimamisha ili wabunge wawaone walivyojipodoa na nguo mpya walizovaa,na halafu ndio ataanza hiyo hotuba ya hilo jibu la swali litakalozua maswali zaidi ya vichekesho yaitwayo ya Nyongeza!Swali la nyongeza kwa bunge letu maana yake ni swali la kichekesho lilojaa vituko ambalo waziri naye atalijibu kwa vichekesho ambavyo bunge zima litacheka.
Hadi waziri mhusika anapomaliza jibu utakuta wabunge wanakoroma na muuliza swali naye anakoroma akisubiri aamushwe asaini posho yake aende zake asubiri kikao kijacho.
Hili bunge la kina Amina Chifupa lina mambo wallah! Toka uhuru hatujawahi kuwa na bunge la namna hii!
Msikie rais wetu akiongea, pumba tupu hadi watu wandhani anataka kuvamia nchi jirani. Nilimsikia kwenye Youtube...ilikuwa disaster.
ReplyDeleteHuyu jamaa kichwa ila aliharibiwa CV yake na Kichaka, yaani kama asingemfuata BUSH, Jamaa angestaafu kwa heshima kubwa na angekuwa ni history kwa UK kupata PM geneous kama huyu. Ila yule mshikaji wake kamuuza masikini, sasa hivi katangaza kujiuzuru chama kimeanza kupanda chart. Ila namkubali ni kichwa hasa, yaani anaijua nchi na strategy zote yaani ana soma kabla kuingia bungeni, sio viongozi wetu madesa kibao briefcase kuuuubwa hata kusoma wanababaika, Kazi kupiga porojo tu na kutumia usanii kunyamazisha wabunge wenye woga wa kutokupitishwa kugombea uchaguzi ujao
ReplyDeleteUlikua paparazi au alipose kwa wewe luchukua hiyo picha? Hebu tueleze
ReplyDelete