
ahmed viriyala katuletea hii leo. wadau wanaopenda kutupa picha ama katuni ama maoni watume kupitia issamichuzi@gmail.com hamna noma wala nini...
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mzee Michuzi ajali monduli leo imenitia kinyaa ile mbaya,eti watu 200 baba ungeona hiyo damu ungechanganyikiwa ile mbaya.Trafik wanafanya nini?Duka bovu kuna Trafik ambao wangekagua kama lile lori lilikua linaendeshwa na mtu makini lakini hawajafanya hivyo,jamani tuliobakia kufa ni mimi na wewe unayesoma hii habari na michuzi kweli tukubali kufa hivi hivi?Habri za vifo vitushoshe.
ReplyDeleteNakuaminia michuzi vizuri sana...
ReplyDeleteteh, teh, teh! Jamaa kweli ni mkali!
ReplyDeleteAkome hiyo ni sawa na kutaka kujua bata anakula nini!!!!
ReplyDelete