taasis ya sanaa bagamoyo wakionesha sarakasi bustani ya mnazi mmoja gaden leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2007

    michu umeteleza mzee katika maelezo yako naona "bustani" alafu umeweka "garden" vipi mazee? au ndio inglish is noti richebo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2007

    "bustani ya mnazi mmoja gaden"
    "red pen nyekundu"

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2007

    waswahili bwana mpaka inakua sio raha tena. kwani hata akikosea si umeelewa anachosema.,. sasa tatizo lako nini. Kma unataka kufundisha watu kiingereza nenda kafungue shule au blog yako.

    Mmezidi sasa hata haipendezi tena ujumbe umeupata kaa kimya. Yaani nyie ndio mnaojua kila siku kukosoa tu watu au wengine hatuoni . Kuna watu wanache wajingaaaa hawana hata la kusema baso tu vodole vinawawasha kama nini...Wamekosa kutafuta kazi zitakazoweza kuwasaidie wasikike sauti zao sasa wanaona humu ndio kwa kujieleza... Get life you little stupid brat mnaojifanya kila kitu mnajua Nyamazeni wengine tumeelewa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2007

    wana Insurance hawa? Ukivunjika mbavu?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 21, 2007

    Nyie mnaomkosoa michuzi mnaonekana mmeondoka nyumbani siku nyingi kidogo. kwa kuwaelewesha, muchu hajakosea.. yaani alichoandika huwa ni kijimsemo kilichojiibua kutokana na watu wengi kuwa wanakosea mf. watu wengi wamekuwa wakikosea na kuita barabara ya Mandela Road.. nk. Sasa kutokana na hilo, ikawa kama ni kijimsemo kimeibuka! hivyo alivyoandika ni sahihi kabisa kwa kiswanglish chetu cha kimatumbi.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 21, 2007

    GREEN VEST YA KIJANI/AMELAZWA ADMITED...Sasa michuzi unanikumbushia afadhe Kitomari wa pale mgulani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...