Home
Unlabelled
tegemeo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona mshikaji kachoka namna hii? Halafu anaonekana kashapata mcheche tayari. Kuna matumaini kweli. Vijana inabidi wapigwe msasa wa kisaikolojia na wapate lishe ya maana, sio finyango mbili tatu na sahani ya ubwabwa pale Livingstone.
ReplyDeletemichuzi siku hizi unazeeka nini mbona unachapia sana??????? Nizar Halfan mtaalam si straika yeye ni attacking midfielder
ReplyDeleteAliwahi kupata ajali kwenye mkono wake wa kushoto?
ReplyDeletenizar,nsajigwa,swedi,cannavaro,nditi,boban,golota,ivo,smg na trupu zima la taifa Stars nawaaminia wanangu.kesho fanyeni kweli,pointi tatu muhimu!
ReplyDeleteushauri wa bure kwa TFF,mwongezeni Pawasa kwenye timu azibe nafasi ya Costa Nyumba. Pawasa ana uzoefu na ni mtu wa jihad. yaliyopita si ndwele,boban mbona kabadilika?
ReplyDeleteMichuzi tuombe Mungu, tukiwafunga Bukinabes lazima Maximo aongeze nguvu ktk kikosi cha Stars. Tuna strikers kibao wa kuleta ushindani.Pia tunahitaji kiungo mkabaji ambaye kwa sasa hatuna ktk kikosi hicho. Zamani tulikuwa na watu kama Adolf Rishad, Nicodemus Njohole, Mtemi Ramadhani, Mtagwa,marehemu Lenny na hivi karibuni Matola. Tuache ushabiki wa vilabu tuimarishe timu ya taifa ambayo itakuwa alama yetu sote. Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteHivi ili watu wajue uko ughaibuni lazma ukiona picha ya mtu aliyebaki nyumbani useme "mbona kachoka hivi?"? Unamjua huyu? Alikuwa vipi kabla ya hujamuona leo? Hii tabia sio ya kitanzania kabisa, sio ya kistaarabu wala ya kisomi.
ReplyDeleteTubadilike tuache kuponda watu wa nyumbani. Hawa wanatuhusu sisi. Hata wazungu wakimuona mtu "aliyechoka" (kama kweli yupo) watakuuliza wewe maana ni mtanzania mwenzako huyo.Tuweke uzalendo mbele sio tujifaharishe na vitu vya ulaya na Marekani ambavyo ni vya KUDANDIA.
Takajua,
Mimi nadhani ni tatizo la picha tu na sio ajali kama ulivyodhania.Inaelekea jua lilikuwa linampiga kutokea upande wa kulia kwake au ni Michuzi LABDA ndio kapiga picha vibaya. Ikuze picha halafu angalia utaona kama mwanga umepita ktk mdomo na kidevu chake hadi eneo la mkononi.
jamaa aliyetumia neno kuchoka anatania kama nadharia, plus yawezekana pia yupo bongo ; kwa nini unaconclude kuwa yupo ughaibuni ??
ReplyDeleteUkweli wachezaji wetu wana miili midogo sana, Wasenegal walisema hivyo timu ilipoenda kwao.
Ingawa mpira si miguvu, lakini unapokutana na mchezaji mwenye uwezo sawa na wewe. Basi lishe inakuwa factor.
Ndio kachoka - si ametoka mazoezini!!
ReplyDeleteNakubaliana na maoni kuhusu miili ya wachezaji ila tukumbuke wazambia na wa south africa wamefika mbali wakati wana miili sawa na wachezaji wetu !!
Michuzi waweza kutupatia picha ya timu nzima ??
vipi naweza kuangalia mechi ya stars vs bukina kwenye internent live?na game ni saa ngapi?Tafadhali naomba msaada wenu wana blog.
ReplyDeletesouth africa na zambia wamefika mbali wapi, mwezini au ..?
ReplyDelete...hata wabrazil wengine wana maumbo madogo,
...msemaji anasema unapokutana na mchezaji mnaolingana kuifundi, umbo laweza kuwa advatage, full stop !
MECHI YA STARS NA BURKINAFASO NI LINI?
ReplyDeleteMichu naona kuna utata wakati watanzania tukijua mechi ni leo kwenye mtandao inaonyesha ni kesho jumapili, hebu fuatilia hapo kwa uhakika cheki hapa http://www.betclic.com/sport/EventDetail.aspx?id=48
Kaka Michuzi. Huyu bwana samtaimz huwa ananyanyua vyuma au anapigana mieleka ya WCW? Khaa!
ReplyDeleteMaanake naona hiyo MISULI kwenye huo mkono, Mweeh!
All in all ameibuka sasa ajitunze. Asianze sasa kulewa misifa na kuanza KUPOMBEKA na mabibi kwa wingi, kama walivyo mastaa wengi wa Bongo.
Hongera Mwanangu!
HATA kipofu anaona kwamba hii njemba haipati square meal
ReplyDelete