hakika kuna ujumbe mwanana kwenye magari mengi ya bongo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2007

    mimi ni mmoja wa watu ambao hawakosi kuangalia blog yako karibu kila siku iyendayo kwa Mungu. Sasa leo nimeona kuna picha ya uwanja mpya wa mpira wa taifa lakini jina la uwanja huo halisomeki.

    Sasa jaribu kutuandikia chini ya picha hiyo hilo jina la uwanja.

    pia nimeona picha ya masoud kipanya.
    napenda katuni zake ningeomba uwe unatutolea kwenye blog yako tuzione si wote wanaopitia magazeti na kuna wengine wako nje ya nchi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2007

    Escort ni hii escort kweli au ni jina tu. Hiyo biashara ipo legal bongo? Au ni biashara nyingine tu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2007

    Arusha escort! blonde or busty wanapatika hapo?(joke)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...