
kuhusu wanafunzi wa kibongo waliokwamba ukraine jk alitanabahisha kwamba imebainika hawakupelekwa huko na serikali bali walienda kivyao, hivyo suala la kwamba wametelekezwa na serikali si la kweli na halipo. pamoja na hayo serikali imetenga mamilioni kadhaa kama msaada wa serikali wa nauli watayotumiwa ambapo wameombwa na warejee bongo kuendelea masomo katika vyuo vya hapa nyumbani kama walivyo wanafunzi wengine
Yet another example of a Government cover-up.
ReplyDeleteDoes he HONESTLY want us to believe that these students COULD afford to go there by themselves YET not have the money to come back?
I'm really starting to think we elected the wrong person,"Ari Mpya!Nguvu Mpya!",yet it takes the Government over a month just to send (roughly) 10 million Tshs for airfare?
It just does not add up.
Ukishaona Rais anavaa koti lenye rangi tofauti na suruali jua ...
ReplyDeleteHakuna kitu kibaya kama mtu mzima kutufanya sisi sote mazezeta!! Hivi kwanini Wizara haitaki kuweka hadharani majina ya WALIOKUBALIWA mikopo mwaka 2005-2006 ili tuone kama majina ya vijana hawa hayamo? Kama walikubaliwa mikopo na mikopo hiyo haikutumika, hizo fedha zilienda wapi?
ReplyDeleteHivi kwanini hawakumuuliza Mheshimiwa Rais ni nani aliyewakataza vijana hawa kwenda Ukraine kwa vile serikali haina fedha? Ni barua gani waliyoandikiwa wazazi au wanafunzi kuwaambia mpango wa wao kwenda Ukraine umesitishwa?
Cha kuudhi zaidi ni anawezaje kuwaululiza kina Msolla, mama Kabaka, Mama Katunzi, Mbegu, na Nyatega kuhusu suala akategemea watamuambia "mzee unajua tuliwapeleka sisi".. mambo mengine yana akili isiyo na akili..
Hicho kinachotumwa huko siyo "msaada" ni deni wanalotakiwa kulipa ndani ya miezi sita wakisharudi bongo..sasa kama hawana fedha za kujirudisha, tayari wana deni la kusoma vyuo hivyo kwa mwaka mzima halafu wakirudi wana deni jingine.. watalipa vipi?
I agree with anony of June 6 2007, 10.29 EAT, that we elected a wrong person indeed!. How can a poor Tanzania afford to pay a fair and partial fees to Ukraine and yet fail to come back? How? Can the govt provide us with statistics of loan recipients in the financial year 2005/2006 and see if those in Ukraine are not there?
ReplyDeleteWe are tired of being fooled, mind you, you can fool some people sometimes, but you can not fool all people all the time!
na nyee mkomeee hamna hela mnajitia ulaya ulaya!Rudini nyumbani mkajiunge na vyuo vya hapa Aibu aibu ona sas hata nauli hadi tuwachangie.mnatia sana aibu nyie wabongo uko nje bwna kama hamna hela mtu usiende kwa vile umemuona mtoto wa kizito jirani yako kaenda au kakuletea form na wewe unajaza tuu unamdanganya mzazi wako nilipieni tu ka mwaka haka ka moja hivi vingine aaaa ntakuwa nimesetoo umesetooo? rudini home acheni ujinga !
ReplyDeleteHao walitapeliwa na baadhi ya maofisa wa hapo wizarani ama na matapeli waliojaa karibu na ofisi mbalimbali za serikali wakaliwa pesa zao na sasa wanaonja joto ya jiwe.
ReplyDeleteYalishawahi kutukuta hata sisi. Kwa hiyo si ajabu yakitokea leo hii.
Na hili mimi nililijua tu toka awali kwamba ni utapeli. Hakuna cha kuahidiwa mkopo wala nini!!
Unajua tena ulimbukeni wa kibongo: ukishaambiwa kuna nafasi ya kusoma nje ya nchi basi upo tayari hata kuuza shamba la urithi ili uipate hiyo nafasi. Na wajanja wa mjini wanatumia hizo njia kuwapiga wengi wetu mabao.
Siku nyingine mtajifunza kutokukurupuka. Lakini usishangae wengine wakatapeliwa tena mwaka huu kabla haujaisha.
Bongo achana nayo. Katika hii mikopo kuna wajanja wengi waliweza kula kiulaini wakati hata hiyo form wanaisikia redioni.
Hawa vijana ni wa kuhurumia sana. Ila sasa inabidi waseme ukweli na waombe msamaha kwa usumbufu waliousababisha wa upotoshaji.
Siku nyingine wakiambiwa hivyo na huyo "mratibu" (tapeli) wamwambie awape uthibitisho kwa maandishi na mbele ya mashahidi (wanasheria) waone kama atakubali.
Sisi tuliopa hapa bongo haya tumeshayazoea. Watu wanalizwa kila siku. Wengine wanauzwa huko Marekani na nchi nyingine za nje bila kujijua. Wakishafika huko ndiyo wanagundua kwamba wameshakuwa watumwa. Subirini mtasikia, kusoma na kuona mengi tu.
Nchi hii watu wamepinda nakwambieni. Kuweni macho.
WATANZANIA WENZAGU NAINGIA TENA MTAMBONI KUTOA MAWAZO KUHUSU USANINI UNAONDELEA BONGO....
ReplyDeleteJAMANI KWELI TUMEFIKA PABAYA YAANI SERIKALI YA TANZANIA IMESHINDWA KUWALIPIA WANAFUNZI 20 KUMALIZIA MASOMO YAO ANGALAU DIGRII YA KWANZA.....HALAFU AIBU ZAIDI MANENO HAYO ANAYATAMKA RAISI WA NCHI MBELE YA WAANDISHI WA HABARI, JAMANI MBONA TUNATIA AIBU SANA...GHARAMA ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WANAO SOMA UKRAINE WATU 20 NI SAWA NA GHARAMA ZA WATU 4 WANAOSOMA UK. AU U.S.A NA KAMA UTAFANYA UTAFITI KUWASOMESHA VYUO VYA NYUMBANI NI GHARAMA ZAIDI YA HUKO WALIKOKUWA ..SANA NIAMBIE JK LOGIC IKO WAPI???????????????? NA KWANINI KUWE NA DIFFERENCES KWENYE SOCIETY (yenye Amani na Upendo kama Tanzania)??? WATOTO WA WALIPA KODI WANARUDISHWA NYUMBANI, WAKATI HUO HUO WATOTO WA WAKUSANYA KODI WANAPELEKWA KWENYE 1 CLASS UNIVERSITY NCHI ZA MAGHARIBI'''''' ALAFU KILA SIKU UNARUDIA MANENO YAKO(Hali mpya ...................) NINA IMANI HAYA MANENO YANATAMBULIWA NA ASILIMIA 1 YA WATANZANIA .
HIYO NI HATARI SANA....
JAMANI MIE SIAMINI KWAMBA SERIKALI HAINA FEDHA ZA KULIPIA WATANZANIA 20 AMBAO BABA AU NDUGU ZAO WANATUMIKIA TAIFA NA KULIPA KODI WAKATI HUO HUO SERIKALI HIYO HIYO INATUMIA KODI YETU NA MISAADA TUNAYOPATA KUTOKA KWA WAZUNGU KUNUNULIA LUXURY CARS KWA AJILI YA WATOTO WAO..(Jamani kweli huu ni hu ungwana alijisemea Mzee Kenyatta)......UWEZI KUJUA MAMBO YA MUNGU LABDA KWENYE VIJANA 20 WANAO RUDISHWA NYUMBANI MIONGONI MWAO KUNA RAISI WA TANZANIA - 2027..WACHINA WANASEMA...(IF YOU ARE PLANNING FOR LIFE TIME EDUCATE PEOPLE)....SISI TUNANUNUA MAGARI YA NGUVU..POLENI SANA WALALA HOI KUNA SIKU MUNGU ATALIPA MACHOZI YENU..
MKEREKETWA UGHAIBUNI...
wanahela za kununua BMW lakini hela za kuwasomesha hao watoto hamna.
ReplyDeleteYaani watu walipataje hiyo shule na kama ni walala hoi hiyo bank statment au mtu anayemdhamini ni nani alionyesha? natumaini hata huko nilazima kuonyesha kabla hujapewa visa au kukubaliwa kwenda shule
Tunataka tuone data kuwa kweli hawakuwa katika list ya msaada..Tukiona tutaamini si kuna dta mahali... Hii miaka ya high tech nadhani tuziwahi hizo data kabla mtu hajadestroy hard drive.
KAMA WALIJILIPIA KWENDA,WAJILIPIE KURUDI.
ReplyDeleteJK PELEKA HIZO PESA MUHIMBILI ZIKANUNUE DAWA ZA WAGONJWA.ACHANA NA HAO VIJANA.WANATUPOTEZEA MUDA.
UZURI WA TANZANIA RAIS ANAWEZA KUDANGANYA,NA WATU WANAKAA KIMYA.HATA AKIGUNDULIKA AMEDANGANYA ANAENDELEA KUWEPO MADARAKANI WA RAHA NA MSTAREHE.SIDHANI KAMA HILI JAMBO LA HAWA WANAFUNZI WALIOPO UKRAINE WALIJIPELEKA WENYEWE.TUCHUKUA MUDA KUCHUNGUZA NA TUMSHITAKI RAIS KWA KULIDANGANYA TAIFA.MASIKINI TANZANIA INAZIDI KUTEKETEA!MUNGU IONDOLEE BALAA TANZANIA NCHI YENYE RASILIMALI NYINGI NA MANDHARI YA KUPENDEZA!!!
ReplyDeletesasa kama ukraine sawa na tanzania hao watoto nini kilichowafanya waende huko kama kweli uwezo hawana.
ReplyDeleteHao watoto wanatoka Dar so wangekaa makwao na kwenda shule.Huko walipo wanakaa kwa nani???
watanzania tuache mambo ya kheri nikawe mbwa ulaya....kusoma popote.Hata bongo.