Home
Unlabelled
wapi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteHapo ni Fire (Dar es Salaam) katika makutano ya barabara za Morogoro, United Nations na Swahili. Hili jengo lipo barabara ya Swahili.
Tanzanianboy,
UK (East)
hapa ni pale kwenye junction ya barabara ya kawawa na morogoro,magomeni karibu na lile kanisa kubwa.mimi naishi kwa joji kichaka district of columbia yaani washington dc,ukitaka kujua kweli angalia muda ninao post hii comment hapa dc ni kama saa 11 na dakika 9 jioni, nataka picha ya uwanja mpya unavyoonekana kwa sasa,au shell pale mburahati kwa kina ivo.
ReplyDeletehapo ustadh michuzi ni
ReplyDelete1)makutano ya chang'ombe road na nyerere road
sijui nimefuka maana miaka 3 sipo bongo sasa,ila misupu nawe umeficha sana majengo ya pembeni,kama nimepatia naomba picha ya bandari ya kigoma ambayo kikwete amesema ataikabarati
Mich, hapo ni kwenye makutano ya barabara ya Ilala na..
ReplyDeleteHAPO ni traffic lights za FIRE.
ReplyDeleteUmepiga picha tokea upande wa shule za sekondari za azania na jangwani,,
upande wa kushoto ni FIRE
upande wa kulia ni barabara ya MOROGORO,,unaelekea magomeni kwa michuzi
kwa mbele ni Dar Young African,,na hiyo Morogoro automobiles wanauza magari hapo,,
upande wa kushoto pia kuna hiyo SHELI hapo wanuza mafuta..
NEED I SAY MORE???
Aaah, hapo tu; hapo ni sokoni bwana... pale mtu anayeenda kuuza baiskeli yake anakoelekea!
ReplyDeleteMichuzi hapo ni junction ya faya. Hilo jengo huo upande wa kushoto linatazama kile kituo cha mafuta (na wanauza gesi ya kupikia). Kushoto kwa mpanda baiskeli ni kituo cha zimamoto na pia njia panda ya kuelekea korea culture na jengo la umoja wa vijana. Ile scania pale kushoto inaelekea kukata kwenda magomeni. Kulia kwa mpanda baiskeli ni shule ya sekondari ya wasichana (jangwani girls). Naishi NY, USA (mlima vernon as you called it once).
ReplyDeleteMichuzi hapo ni junction ya faya. Hilo jengo huo upande wa kushoto linatazama kile kituo cha mafuta (na wanauza gesi ya kupikia). Kushoto kwa mpanda baiskeli ni kituo cha zimamoto na pia njia panda ya kuelekea korea culture na jengo la umoja wa vijana. Ile scania pale kushoto inaelekea kukata kwenda magomeni. Kulia kwa mpanda baiskeli ni shule ya sekondari ya wasichana (jangwani girls). Naishi NY, USA (mlima vernon as you called it once).
ReplyDeletehapo ni magomeni makutano ya br ya kawawa na br ya morogoro.
ReplyDeletesays u r boy from phila.
WEWE MALAYA WA WASHINGTON DC BOX ZIMEKWISHA? NENDA MERYLAND KUNA FACTORY KIBAO BEBA HADI TANI YAKO, NANI KAKUULIZA KAMA UKO DC. HUKUSOMA SWALI LA MSINGI HAPO KWENYE PICHA USITULETEE NYEGE ZAKO, PELEKA KWA WAMEXCO WAKUSHUGHULIKIE..JIBU SWALI HAPO NI WAPI USIONGEE KAMA MALAYA ALIYE KOSA BWANA!
ReplyDeleteNadhani hapo ni mnazi mmoja, makutano ya uhuru na Lumumba. Nimeondoka Dar miaka kumi na nne iliyopita ninaishi MidWestern USA. Nikishinda nitafutie picha ya yule jamaa wa gitaa la nyuzi dazeni aliyetunga na kuimba marashi ya pemba, nimeshahu jina lake. Nasikia alishafariki, tulikuwa tukinywa naye sana bia za Safari pale ukanda wa Gaza Sinza.
ReplyDeleteHapa ni Kwenye trafic lights, na usipo angalia utagongwa hapo maana watu hawaheshimu taa za barabarani bongo.
ReplyDeleteHapo ni makutano barabara ya swahili,morogoro na umoja wa mataifa.Ghorofa liko mkuno wa kulia kama unaenda kariakoo kupitia mtaa wa Swahili,karibu yake kuna yard ya magari. Tony, HOuston,Texas.
ReplyDeleteHapa ni traffic lights za fire,kwa kulia kuna shule ya wasichana ya jangwani kushoto ni fire station.
ReplyDeleteMyeji,
UK(Sheffield)
Kuna watu wapo hapo bongo na mitaa hawaijui. Unakaa manzese na kazi ubungo. Mpira huendi, dansa pia. Mji utaujulia wapi? Blackmpingo
ReplyDeleteNaishi U.K kwa mama,nadhani hapo ni makutano ya barara bara ya kawawa na nyerere kuelekea mitaa ya keko.Mimi nipo ukerewe hapa,siku mbili hizi ni mvua tupu na watabiri wamesema itanyesha kwa muda wa siku 5.
ReplyDeletemichuzi hapa ni downtown Bukoba maeneo ya Katerero.
ReplyDeletehapa naona ni mashindano ya kujitangaza mko wapi?mbona mwaficha majina yenu basi oh niko uk or america mmeulizwa.Nye wanafunzi au maana naona hamuelewi instructions sijui manafanya vipi mtihani yenu huko mliko kama mnavyotangaza.Acheni misifa haipendezi mnaboaaaaaa sometimes!!!!ah
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteMimi naishi Colchester, UK. Nimefanya hivi mapema ili iwe rahisi sana kujua wapi nilipo wakati utakapoamua kunipa zawadi yangu maana hapa nimeshinda mimi. Jibu sahihi na la kwanza kabisa.
Ukitaka ushahidi basi unaweza hata kuniuliza kwa email yangu (ya gmail), user id hiyo hapo.
Thank you in advance.
lol wabongo kibao mmechemsha, faya faya, hamna kitu. bwa michuzi hapa ni magomeni mapipa...michuzi niletee Mburahati National Housing karibu na house number 504
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteHapa ni Pugu road kona ya kwenda Chang'ombe..
Unajua huyu nani sina la kusema zaidi.
Hapo ni magomeni sokoni karibu na hospital,ukivuka barabara kuna msikiti.
ReplyDeleteNaitwa Mcanya nipo UK London u wanna proooof... check time mate...init?(21.15)Hey mzee michuzi kama nikishinda naomba ukanipigie picha ya CCM KWA TUMBO-TANDALE na mwenye kiti wake wa zamani mzee DUWA kama yupo Hai.CHIAZ MATE.
Nimejaribu kuwa hapo ni makutano ya Uhuru na Lumumba lakini naona kuwa nimenoa. Nimetoka bongo muda mrefu sana kabla hayo magorofa ya Dar hayajaanza kujengwa.
ReplyDeleteMichuzi, hata kama nikilamba mchanga kwa karai kweli, bado naomba uniwekee picha ya yule jamaa na kombora la nyuzi dazeni kweli. Jamaa huyu aliimba wimbo wa marashi ya pemba kwetu na sitamsahahu kwqeli. Nadhani alikuwa akiitwa King Sheba superior Sheba hivi ingawa jina lake limenitoka sasa. Nakumbuka tulivyokuwa tunakunywa safari pamoja naye pale sinza ukanda wa gaza akiwa na Mark II-Grande yake ya brown.
Hapo ni makutano ya morogoro road na bibi titi hilo jengo linatazamana na dar tech hii picha umeipigia kwenye jengo la la akiba...
ReplyDeletesorry jamani kama nawaboa ila nilivyoelewa michu anataka kujua ulipo so sina cha kufanya zaidi ya kupataja
nipo catford - london
HAPO NI NJIA YA PANDA YA MBAGALA RANGI TATU, MBANDE NA KIBONDE MAJI...MWISHO WA YOTE. MNAJIFANYA MNAJUA ETI OOOH, MNAZI MMOJA, MARA OOH, MAGOMENI. WOTE MMEKOSA. KUMBE MNAJIFANYA WAJANJA KUISHI UGHAIBUNI WAKATI YALIYO BONGO HAMYAJUI....WOTE MMEKOSA. ALAMSIKI, WENU MICHUZI.
ReplyDelete