Home
Unlabelled
yale yale...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
enzi zile huyu jamaa alikuwa anabandika orodha ya majina kuonesha wasiolipa ada. siku hizi wamekuwa wengi kiasi kwamba anaandika memo ya jumlajumla.
ReplyDeletealikuwaga anaanzia main campus halafu anafuatia malimbe.. ilikuwaga bonge ya zengwe
janja ya wengi ilikuwa inagonga mwamba kwenye msosi lakini wajanja walikuwa wanapenya tu
Pay the piper guys...mna bahati hata mmepata muda wa kusoma bila kulipa kwanza na hiyo knowledge mnaweza kuipeleka popote bila hata ya mtihani. Siye wenzenu kabla ya muhula kuanza you have to pay the full tuition na kama hujalipa basi jina linaondoka tu kwenye list ya class registration...siye huku tunaregister kwa simu ...ukipiga simu number yako haipo...na wakumweleza matatizo yako ..."baba hajatuma hela" hayupo...basi tu...Nyie mnaraha sana lakini mnatake so many things for granted
ReplyDeleteThis is rediculous, unfair kabisa.
ReplyDeleteenzi zetu tulikuwa tunasoma bure kwani serikali ilikuwa inatimiza responsibilities zake, not nowadays inazidisha matumizi kwenye mashangingi zaidi kuliko elimu!
imanikumbusha mabli sana. Detective Mwanjonde hacheki wakati huo. Upadri pembeni anataka mshiko. Hakuna kula wala kulala, mitihani ndiyo basi tena.
ReplyDeleteMtetezi alikuwa Babu Walters. Mwacheni jamani anajenga jiji. Inabidi uwe na fungu la kulipia kandarasi na wadau au mnasemaje Omega Ngolle, Ilonda, Sabina, Bhoke na Fr. Ng'tigwa? Rugemalira upo?
ahaa haya mambo sasa yanaboa kwa nini nchi haitaki watu wasome? Nawauliza hao viongozi, Rais Kikwete kweli tutapata maisha bora kwa kila mTanzania kama kila uchao wnafunzi wanahaha wamefukuzwa hawana ada na hela ya practicals? Jamani tujenge nchi elimu ipewe kipaumbele jamani acheni safari za nje kila mara, acheni kuwapa wabunge minofu wakati wananchi wanakula mapanki, hebu fanyeni mambo ya maana kwa nchi. Hivi inawezekana hili baraza kubwa la mawaziri halina kazi kabisa sababu mambo kibao bado hayashughulikiwi, aibu hii.
ReplyDelete