
ULE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ULIOITISHWA NA GAVANA WA BENKI KUU MH. BALALI LEO UMEAHIRISHWA HADI KESHO SAA TANO.
HAKUNA SABABU ZILIZOTOLEWA KWA KUAHIRISHWA HUKO NA UMATI MKUBWA WA WAANDISHI TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA NDANI NA NJE ULIOHUDHURIA ULIAMBIWA TU KWAMBA MH. GAVANA ANA UDHURU NA KWAMBA ATAKUTANA NAO KESHO SAA TANO ASUBUHI HAPO HAPO BENKI KUU.
STEI TYUUUUND
Mr. Michuzi hawa watu wa Bank Kuu ni wahuni tu. Wameona kuwa hawana baadhi ya documents za kuwadanganya ndiyo maana wameamua kuahirisha. Tanzania bwana kila mtu mbabaishaji.
ReplyDeleteyaani wanauzi watu wengine lakini basi tu kaka michuzi usimind wangu
ReplyDeleteBonge la panja!
ReplyDeleteDuuh, lakini watu hawaelewi Balali yupo fit kwa kila kitu ni kuna baadhi ya wafanyabiashara bongo(wengi wao magabacholi)amewatilia ngumu kupata mikopo toka BOT ndio wanaozusha kashfa dhidi yake ili aondolewe waweke mtu wao.bongo hivi vitu vipo long time ndo maana nchi yetu haindelei because iko controlled na wahindi na sasa wanawatumia wabunge kuleta kashfa dhidi ya Balali baada ya kutiliwa ngumu.MUNGU IBARIKI NCHI YANGU TANZANIA,AMEN.
ReplyDeleteChukua tano Anon.
ReplyDeleteMradi tu asije nayeye akasomewa albadir tukamkosa. Waosha vinywa mnisamehe bure ni mtazamo tu!
ReplyDeleteaulizwe jengo la BOT limegharamiwa kwa kiasi gani? mtashangaa!!
ReplyDeleteNaona sasa watanzania watapata fundisho, maana siku nyingi wamekuwa hawajui wahindi wote kuingia ccm kwaajili ya maslahi yao binafsi sio kwaajili ya kuwatumikia watanzania kwa kifupi wahindi ni corrupts.
ReplyDeleteNaona na bunge lingeanzisha sheria mtu atakaongea uongo bila vidhibiti ashitakiwe ili watu wawe wanaongea vitu ambavyo vina uhakika zaidi. Nakutakia maisha mema ballali
Hii kesi inaweza ikazimwa kiaina, na wala wasifanywe chochote. Hii ni kutuharibia nchi
ReplyDeleteTake fiver annon wa 8.09,Balali kama pesa alikuwa nazo long long time ago wakati yupo US,itakuwa vipesa vya madafu hapo bongo, kama majumba atakuwa amenunua enzi hizo sio hizo pesa za twin towers,watu wamefikia hadi kumwingiza na mke wake.WABONGO hamkeni MAGABACHOLI (wahindi)watatumaliza,wanawatumia wabunge uchwara akina Slaa kumwengua Gavana wetu anayefanya kazi kwa umakini mkubwa.Mie nipo ughaibuni Balali namfahamu,lakini wahindi watatumalizia nchi wako radhi kutumia hata upinzani ili wapate pesa za bure.Watu kama akina Slaa ni wa kufanywa kama yule waziri wa China kwa sababu wao ndo waangusha nchi.WAKUNYONGWA HAO SLAA NA WENZAKE WAPAKAZAJI.
ReplyDeleteNalalamika nini kila kitu dosidosi kama wewe naweza fungua jamat yako si fungua hapana ita sisi vezi kama ni njaa nyenu ndo naletea nyinyi shida sisi nafata maslahi kwanza kama sida usiliza ongozi yako sio dosi
ReplyDeleteSurprise ..surprise...Leo JK kateua Manaibu Gavana wa BOT watatu,Prof. Ndullo, Juma Reli na jamaa mwingine jina limenitoka. Ballali atakuwa amemwinywa toka juu kuwa kijana tulia, tunajua mambo yavyokwenda
ReplyDeleteSwala la Amina lilianza hivi hivi, mara kuitisha press conference mara kuahirisha...........
ReplyDeleteAcha nyie tukana sisi bana,kila siku naandika ndani ya hii blog baya kuhusu jamii yetu.Siku hapana jinga ila ikofanya biashara kwa janja kubwa na akili nyingi sana,If you have happened to have confluence of clues in ragards to business and sales strategies you would be in possiyion to understand what I mean.Lakini kila mara mimi akipitia hapa nakuta neno la kutukana sisi.Mara ita jina la ajabu,huyo Tikila naita sisi,sasa yeye iko wapi?Mbona kimya!!Kama hiyo gavana inafanya problem naanza tena tupia lawama sisi.Nyie acha longolongo yenu bana,sisi nambari one everywhere in the world,we caana eneve penetrate to unpenetretable substance.Amkeni mtu ya Tanzania acha tukana mtu tajiri duniani kote yeye akiamua chumi ya nchi takwisha ndani ya dakika.Na wewe anabandika hizi vitu acha bandika maneno ya kusema ovyo kwa hindi hii mtu taponza wewe mtu wa blogu,acha kabisa sikiliza mtu jinga ambapo hafikirii.
ReplyDeleteWhat i can't understand is how Tanzanian people have shorten mind. Who said if you have work for IMF or world bank you can't be greed. This guy is corrupted and Tanzanian people need to call for his resignation. If you have idea about money monetary system them you will understand why people ask for his resignation. This guy start to jurpodized story the first time when he sign on duty, from seeking Tanzania to have free port, to his truelies about Tanzanian growth economy. One of the job of Bank kuu is to provides loans and control intrest rates for the seek of Inflations and other things, when you look at the why of who qualify loan and who don't you will know why he need to be prosecuted and if guilty send his bat to segerea
ReplyDeleteAwo mabwege wnaojifanya wanamjua Balali waendelee kumjua,na waendelee kubeba mabox uko ng'ambo,kazi ya kuitetea nchi yetu watuachie sisi wazalendo tuliowatuma wakina Mh.Slaa kutuwakilisha bungeni,wafanye kazi yao kwa kanuni na sheria zilizopo,kama ni kumuonea au kutomuonea wakaguzi watatoa taarifa baada ya kufanya kazi yao.
ReplyDeleteAlafu usirudie kusema Balali anapewa vipesa vya madafu,uku ndiko ulikotuka ndugu yangu na izi pesa ulizitumia kabla kwenda uko unakokuona ni Ahera...
Kuweni makini sana,sana.
Mungu awabariki wote.
Wabunge jitaidini kufanya kazi yenu wananchi wanawategemea,bila kujali itikadi zenu kisiasa,tangulizeni maslahi ya taifa mbele,ipo siku moja tutafanikiwa kiuchumi,kijamii,kiutamaduni,kiteknolojia,na vizazi vijavyo vitafaidi keki ya taifa ili.
Mungu ibariki Tanzania,Mungu tupe juhudi ya kuipenda nchi yetu.
Uyo jamaa ambaye amemtetea Balali na kututusi walipa kodi wa nchi hii,Mungu amlipe na ataona yatakayompata mwaka huu,dharau sio nzuri.
ASANTE
Wapendwa, si vibaya tukaelewa bayana maana ya neno BENKI KUU....Hiki ni chombo cha serikali chenye dhamana ya kuchapisha pesa na kuzisambaza kupitia kwenye MABENKI YA BIASHARA....hivyo hakina na wala hakiwezi kufanya biashara ya MIKOPO....yaani kama mmelenga kweye kona hiyo ni kwamba HAMTAMPATA......labda awe kafanya kingine!!
ReplyDeleteNyinyi acheni ujanja wa kuwashambulia wahindi ili kuwakinga ndugu zenu wezi wanaotuibia. Kama una ndugu zako wamepora nchi yetu tutamtundika bila ya kuangalia rangi yake. Si Balali si Jitu. We baki huko majuu na hivo vijidola vyako. Sisi hapa Bongo tutalinda shilingi zetu. Ukaburu wenu ni mbinu tu (ploy)za kuwalinda wezi wenzenu. Period
ReplyDelete