wadau changamkieni tenda hii...
Sent: Tuesday, July 10, 2007 8:35 AM

Subject: Deadline extended: Hubert Humphrey Fellowship Program

Greetings from the Office of Public Affairs at the U.S. Embassy in Dar es Salaam!

Due to changes in interview dates and the new online application, we have extended the deadline for the Hubert Humphrey Fellowship Program to July 31, 2007. This is in response to requests from many of you that more time was needed to adjust to the new online system.
We anticipate the new interview date will be August 7, 2007 (tentative).

As a reminder, the Hubert Humphrey program is a professional development program for mid-career Tanzanian professionals to gain important skills and knowledge on specific topics related to their current positions for one year in the United States of America.
A combination of coursework and professional attachment make this prestigious and competitive program an attraction for individuals who want to improve how they work in their positions and gain from peers in the United States.
Minimum requirements include a Bachelor’s degree, five years working experience in chosen field and excellent academic track record. Previous Humphrey grantees have been journalists, bankers, civil servants, non-profit personnel, university administrators or managers, and medical practitioners.

For more information about the program, click on
http://tanzania.usembassy.gov/humphrey_fellowships2.html
or access the link for our website http://tanzania.usembassy.gov/educational_exchange.html under Resources.

With best wishes,
Office of Public Affairs, American Embassy
686 Old Bagamoyo Rd., Msasani
Box 9123, Dar es Salaam, Tanzania
Voice: +255 22 2668001
Fax: +255 22 2668251
Email:
paodar@state.gov
Website:
http://tanzania.usembassy.gov

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2007

    Nimetoka kuangalia habari kuna wanahabari hata hawajui kusoma. Wanajikwama kwama tu. Sijui ni sauti wanayoitafuta au nikusoma shida. Yaani news zinazoeleweka ni za wale wanaopiga kwenye simu kutoka mikoani.

    Sita name name hapa za walionisikitisha ila aliyesoma vizuri mpaka akaniimpress ni msichana anaitwa aziza, au azizi yusufu au so wa channel ten huyo ndio amesoma kwa ufasaha na kueleweka lakini wengi wao bwana wangu tabu kweli kweli. Sijui machine ya kusoma inaenda kwa speed

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2007

    Hao waswahili hapo ubalozi wa marekani wapunguze ufisadi. Fullbright scholarship inaongoza kwa ubabaishaji, kila saa kuna additional instructions. Usumbufu tu. Tutawalia rada muachie ngazi. We subiri.....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2007

    Michuzi,soma kitabu hiki maana kina story mzuri sana na hii ndio dondo yake upate kidogo mambo "MAHABA" Prints In My Heart: The word love comes in many languages, but there is only one that can describe the feeling of being in love
    "http://www.authorhouse.com/BookStore/ItemDetail.aspx?bookid=45422"
    pia ana ametunga kitabu kingine so wabongo kazi kwetu.......by mkereketwa wa birmingham

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 11, 2007

    Anonymous hapo naungana na wewe kuhusu hilo yaani watangazaji hawajui kusoma kigugumizi mara wanatamka maneno yasio yenyewe wakati wanasoma hata kwenye magazaeti. Niliweka komenti kuhusu hilo swala kule kwenye link ya Channel 5 lakini michizi huyo akabania hiyo komenti hakuiposti. Imenikera yaani hizo habari siangalii tena. Kwa ajli huwezi hata kuelewa penye nukta wanapitiliza tu kama trekta huku wakikosea kusoma. Jamani hivi watu mnaoangalia New bongo hamlioni hilo? au mmeshazoea?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2007

    Mbona wadau wa hapo juu mnaonekana kushangazwa na hao wasomaji wachovu wa habari kutoka Bongo. Hapa Tanzania watu wameshazoea vitu vya kibabaishaji yaani bora liende hakuna ubora wowote. Sio wasomaji wa habari tu hata waandishi wa magazeti nao ni wababaishaji vile vile, Serikali nayo ni ya kibabaishaji, Wabunge nao ni wababaishaji vile vile na hadi wananchi wenyewe ni wababaishaji, kwa hiyo kiujumla hii ni nchi ya wababaishaji period. Bongo ina safari ndefu saaaana kufanya vitu vyenye ufanisi wa hali ya juu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2007

    michuzi asante kwa hiyo TV waosha vinywa tutaosha sana lakini penye ukweli

    Jamani nimeangalia face 2 face duh...kwanini wanafanya interview kwa kiswahili na kuweka kingereza cha hapa na hapa. Hivi wanaangalia tv station za nje kuona quality , personality na standard? Mambo ya kusema una....gjua ....umeku...gia What is that....kama kiswahili sanifu j inakuwa pronouced as je...ahhha...yaani....I am sorry but I speak my mind.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 19, 2007

    Anony July 11, 1:36: Kweli kabisa fulibrait skalashipu ubalozi wa US bongo ni ufisadi mtupu. Atuary, balozi zote mafisadi wamejaa mpaka wasiostahili(ki-grades) wanapita. Bongo kwa undugu-naizesheni!Samtaims, inakuwa ngumu kuwalaumu wahasibu, ma-injinia na madaktari waliochagua kuzoa taka ulaya! Tutafika?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...