mgahawa wa city garden karibuni utahamia makutano ya mitaa ya mkwepu na makunganya (zamani cosy cafe na kisha java cafe, usoni pa mbowe ama bilikanaz) mara tu baada ya ukarabati na ukarafati wa jengo hilo unaoendelea kukamilika. wadau kaeni mkao wa kula...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2007

    Michu acha longolongo, kwa knowledge ya wabongo tuliopo Bongoland, City Garden inahamia ilipokuwa Railway Gerezani Club, na hata ukipita pale kuna sign kuwa CITY GARDEN OPENING SOON, tunaomba uthibitishe kabla hujatoa mambo yako mshikaji.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2007

    nataka kujua pale ilipo inhama au huku kwingine ni extension

    ReplyDelete
  3. Mkandamizaji mwafrika sio longolongo halafu pia uwe unaangalia vizuri picha kabla hujakandamiza comment zako la si hivyo utaishia kusema watu wanadangaya kumbe wewe ndio hauko makini kwenye hiyo picha braza michu aliyoweka angalia vizuri kuna sehemu kimewekwa kitambaa juu ya hilo jengo wanalolifanyia renovation kitambaa kimeandikwa maneno yafuatayo CITY GARDEN OPENING SOON HERE hope utakuwa umeona kama bado jaribu kuvaa miwani kwahiyo mzee kuwa makini kabla ya kuongea kitu ndio maana siku zote wanasema OBSERVE and LOOK CAREFULLY first before putting down your comment

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2007

    point of order:
    moja- kwa anon wa 3:32 july 18,grape vine inasema ATC wanahamisha kila mtu,jengi linapigwa chini kisha wanapandisha kitu cha ghorofa 24,upo hapo?
    mbili- zote zitakuwa city garden mpya,ya relwe gerezani na hii ya mkwepu.
    nawasilisha.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2007

    Whats CITY GARDEN?wengine tumeondoka long time hata hiyo kitu siipati kbisa,au ndo bustani ya jiji?au ni swali tuuu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2007

    Hata mimi najiuliza ndio nini? lakini majengo na rangi yake pamefanana kama kwa madame soufee. You know giza and only men one by one go in and come out smiling.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...