Home
Unlabelled
juma nature
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mambo hayo sasa, hiyo ndio kazi imeanza. Kweli Mungu hamtupi mja wake, baada ya kilio cha siku nyingi sasa kajibu. vijana wakafanye kazi sasa, I hope watajituma kama kawaida yao.
ReplyDeletewajameni si wamekuja juzi juzi tu hawa? no offence but tunaomba mtuletee musicians wengine kama akina ali kiba,marlow, suma lee, hata banana pia bomba,AY, bushoke na wenginewo wengi tu ambao wanachipukia na they are great, tumechoka na kina juma nature!puliiiiz wahusika juma nature hata hivyo analalamika sana kwenye nyimbo zake.just a thought
ReplyDeleteKweli kabisa tumechoka hata kama akija basi waleteni kama wakina GK au wengine wengi wakina Prof J pia na wao wapate opportunity ya kupanuka mawazo ndio kusaidiana sio wabongo au
ReplyDeleteyea kweli mungu hamtupi mja wake! jamaa tulikuwaga naye maskani enzi hizo tunapiga vizinga pamoja siku nasikia show zake mbele mbele tu! soo! Nature Kamua makung fuu, yalete hata na kwa Joji Bushi watu tunakungojea tu!
ReplyDeleteeh bwana kamshangaeni tolu kidogo kwenye hasheemthabeet.blogspot.com
asilimia 70 ya wabongo wako reading na bracknell na nikaribu na london pia tunaomba huduma
ReplyDeletejuma nature kavaa fulana kifuani ina 'askari monument' wadau mna maoni gani kuhusu hilo hasa ukizingatia ni promotional item ya ziara yake kwa wakoloni wastaafu?
ReplyDeleteMichu, hawa vijana hawana umaarufu huo ila wanakuzwa na radio nyingi za FM ambazo zamani hazikuwepo na bahati mbaya watangazaji wote ni vijana. Tunataka kuwaona wakongwe ambao wana history ktk nchi hii na wanastahili sifa kama Muhidin Gurumo, Shaaban Dede, Bitchuka, Mabera, Zahir Zoro n.k
ReplyDelete