Darda King, Jaffrai and Twanga Pepeta will share the stage this Friday to give Dar-es-salaam residents 'once in lifetime show'. Venue: LandMark PlazaFriday 13th July 2007

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2007

    Michuzi kabla hujaweka matangazo kama haya uwe unayaangalia bwana.Tangazo la May 19th iweje litangaze kitu cha July?Huyu Dada King naona kama vile anakurupuka tu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2007

    michu,tunamfagilia sana nancy lakini kwanini hataki kusoma.hawa walimbwende inabidi wafundishwe kwamba shule ni everlasting investment na kwamba umri nao unasogea.cha kushangaza na dada yake nae shule sifuri.matokeo yake wanakua busy na mambo ya anasa ambayo huwapelekea kufanya ufuska.wajifunze kwa watu wengine wenye talent na shule wameishikilia pia.Angalau angejiendeleza kitalent kama happyness magese na wengineo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...