
kijiji cha makumbusho jana palikuwa hapatoshi baada ya bwana harusi kuvamia steji na kufanya vitu vyake baada ya kutoka kwenye sherehe za harusi yake. kuna wadau walikuwa hawajui kwamba jose mara ni myuzisheni wa fm academia

jide na bendi yake ya machozi walikuwepo kutumbuiza. hapa akimsaidia jose mara kuimba wimbo maalum aliomtungia mai waifu wake monica

wazee wa bling bling walikuwepo kumpa tafu mwana-ngwasuma mwenzao jose mara kwenye harusi yake na monica jana ukumbi wa malaika
namuona papaa nyoshi,pablo masai patchou mwamba, roger muzungu,King blaise na huyo nyuma ya jose sijui ndio felician chaula(mmiliki wa ngwasuma)!
ReplyDeleteJamaa wamenyuka kishenzi...
ReplyDeleteJamani hawa wazee wa ngwasuma wameulamba hasa! Acha masihara!
ReplyDeleteaah ameliwa babake welcome to the players club mama. Uanamuziki utakuwa bongo???
ReplyDelete