mtawala wa bongo fleva sir juma nature na wanaume halisi wa tmk wanatarajiwa kuzuru ukerewe mwezi ujao na ratiba yake ni kama inavyoonesha hapo juu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2007

    mambo hayo sasa, hiyo ndio kazi imeanza. Kweli Mungu hamtupi mja wake, baada ya kilio cha siku nyingi sasa kajibu. vijana wakafanye kazi sasa, I hope watajituma kama kawaida yao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2007

    wajameni si wamekuja juzi juzi tu hawa? no offence but tunaomba mtuletee musicians wengine kama akina ali kiba,marlow, suma lee, hata banana pia bomba,AY, bushoke na wenginewo wengi tu ambao wanachipukia na they are great, tumechoka na kina juma nature!puliiiiz wahusika juma nature hata hivyo analalamika sana kwenye nyimbo zake.just a thought

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2007

    Kweli kabisa tumechoka hata kama akija basi waleteni kama wakina GK au wengine wengi wakina Prof J pia na wao wapate opportunity ya kupanuka mawazo ndio kusaidiana sio wabongo au

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2007

    yea kweli mungu hamtupi mja wake! jamaa tulikuwaga naye maskani enzi hizo tunapiga vizinga pamoja siku nasikia show zake mbele mbele tu! soo! Nature Kamua makung fuu, yalete hata na kwa Joji Bushi watu tunakungojea tu!
    eh bwana kamshangaeni tolu kidogo kwenye hasheemthabeet.blogspot.com

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2007

    asilimia 70 ya wabongo wako reading na bracknell na nikaribu na london pia tunaomba huduma

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2007

    juma nature kavaa fulana kifuani ina 'askari monument' wadau mna maoni gani kuhusu hilo hasa ukizingatia ni promotional item ya ziara yake kwa wakoloni wastaafu?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 19, 2007

    Michu, hawa vijana hawana umaarufu huo ila wanakuzwa na radio nyingi za FM ambazo zamani hazikuwepo na bahati mbaya watangazaji wote ni vijana. Tunataka kuwaona wakongwe ambao wana history ktk nchi hii na wanastahili sifa kama Muhidin Gurumo, Shaaban Dede, Bitchuka, Mabera, Zahir Zoro n.k

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...