
kampeni ya kutaka watu wakapime ngoma kwa hiari inaanza rasmi julai 14 na tayari mabango yake yamezagaa kila pembe kuhamasisha umma. wakati huo huo julai 29 kutakuwa na bonge moja la kongamano la wasomi pale mlimani ambalo tangazo lake ni hilo hapo chini...
It has been agreed by some graduates that we call a General Assembly of all Graduates and Intellectuals in Tanzania who will be able to attend.
It has been further agreed that the meeting should take place on Sunday29th July 2007 in DSM at a NSSF Water Front. We expect around 500 Graduatesand Intellectuals to attend.
During the meeting, Leaders will be Elected and Strategies of Implementing some of key projects will be discussed. Please confirm your participation.
This Group of Graduates and Professionals has been proposed by some membersto be called Tanzania Professional Network.We have been advised by State House that our Invitation for HE President Kikwete to be a Guest of Honour is being worked into. We have been advisedto go ahead with the preparations.
Also prior confirmation and list of all people to attend the General Assembly will be required well in advance.The Task Force Committee comprising of about 25 Members has agreed on the following in brief:
1. The General Assembly will be on Sunday 29th July 2007
2. Time from 2.00 PM
3. Venue NSSF Water Front Targeting 500 people.
4. Values and Beliefs on our draft website: www.peersgroup.org
5. You can register your participation and free membership on:http://www.peersgroup.org/register.php
Rais mwenyewe awe mfano kwa kupima hadharani, kila saa anakimbiaga huyu kupima. kwanini?
ReplyDeleteKupima! Nyie vipi nyie!?!
ReplyDeleteKisa cha kujipandisha presha nikafa siku si zangu.
Nyie kapimeni. Mie siku yangu itakapofika ndo hapo hapo nitakapokufa. Basi
Michuzi nakuamini kuwa mfano..kapime hadharani. Uwatoe macho wasanii wetu. Najua msanii mkuu hatakwenda ....
ReplyDeleteKapime au Kapimwe?
ReplyDeleteIssue sio kupima hadharani na hata kama ukipimwa hadharani kwani majibu utapewa hadharani? anyway kupima sio kwa manufaa ya wasafisha vinywa ni kwa manufaa ya mtu mwenyewe binafsi. Ni vizuri kujua status yako ya afya hilo tu basi. Watu hamna dogo. Mbona watu tunapima kila miezi mitatu?
ReplyDeleteNadhani sio busara kumdhalilisha rais. Yeye kuwahimiza watu kupima ni wajibu wake wa msingi hata kama yeye ana uoga wa kufanya hivyo japo siamini kuwa rais hajapima. Nijuavyo ni kwamba unapopima unajua afya yako ikoje na hivyo hata mipango na maisha yako utaipeleka kulingana na majibu uliyopata ili kuwa na maisha bora zaidi. Kwa mfano, ukigundua kuwa umeathirika unaanza kufuatilia matibabu muafaka na pia unaachana na yale malengo yanayoambatana na maisha ya sulubu kama siasa. Hivi sasa tunao watu wengi ambao hawajapima na watu hao wanajiingiza kwenye siasa na hatimaye wakipata misukosuko ya kisiasa kidogo tu gonjwa linalipuka na wanaaga dunia. Kama wangekuwa wanajua hali zao wangeenda kufanya kazi zisizo na misukosuko mikubwa kiasi hicho.
ReplyDeleteWaridi inaelekea mambo yako makubwa, kupima kila miezi mitatu inaonyesha ni kiasi gani una wasi wasi na afya yako. Inaelekea ukikatiza mahali unakimbilia kupima, dawa ni kutulia sehemu moja wewe na mpenzi wako.
ReplyDeleteIssa unangojewa umalize kupiga picha mwendelee na safari haya... mi thimo
ReplyDeleteWaridi unafanya kazi wapi unapima kila miezi mitatu? Tuambiane bwana..au ndio madame rose.
ReplyDeleteNo need of three times a year.
Once ukisha establish nakujua kuwa uko (-) ambayo hii ni unapima mara ya kwanza halafu unasubiri six weeks unapima tena baada ya hapo inachotakiwa ni kupimwa kila mwaka kama wewe ni raia wa kawaida lakini kama unafanya kazi kwenye high risk industry basi ndio hapo. Hii sio malaria bwana ni heri tuelimishane.
Mimi hata kupima naona ni vizuri lakini kikubwa ni kuwaeleza zaidi watu wajue jinsi huu ugonjwa unavyoambukizwa na pia kusambaza condom nyingi za bure au bei rahisi. Mwenye kutumia sawa asiyetumia shauri zake.
Ni watoto wangapi wanaacha shule kwa ajili ya mimba? Hio inamaanisha kuwa ni watu wengi tu bado hawatumii condom.
it is so sad niliangalia TV wakasema wanafunzi siji mkoa gani walienda kupimwa kwa hiyari. Wanafunzi wa primary na secondary...Yaani nilisikitika kusikia 13% walikutwa na virusi...nilisikitika sana na hao ni wadogo below 18 year na sijui walizaliwa nao au wameupata tu.
ReplyDeleteTunahitaji sala sana tu na tabia na culture ya nchi inatakiwa kubadilika.
Wewe Issa mapenzi gani hayaaa Mpenzi.. mimi ulivyonambia unapiga bango picha nikasubiri, kumbe mie nipo kwenye picha vilevile..Kwanini usiniambie tuu twende tukapime ? usiwe na wasiwasi lakini mimi niko safi..Pigamoyo konde Mpenzi.
ReplyDelete