
jk kesho anazindua kampeni ya kitaifa ya watu kupima ngoma kwa hiyari. mdau joni anahofu hali yaweza kuwa hivi....na hapo chini kuna ujumbe ambao mdau mwingine katutumia ambao nahisi unahusiana na hilo. sina uhakika kwani mwenzenu kiinglishi ndo vile tena - noti richebo
Never sacrifice your happiness for a man.
I cooked and cleaned for him,
stopped talking to all my male friends,
came home early to him,
bore a baby for him and what did I get:(a promise to get married & never did,
2 other babies from another woman,
a string of girlfriends calling his house and a death sentence ofHIV Aids).
Was it all worth it - NO!!!
I knew all along he was cheating,
I knew all along he was cheating,
but I stayed because I loved him,
but never realised he didn't love me back,
a man who cheats doesn't love you,
he just likes you,
just like he likes all the other women .
I'm waiting for my last breath,
as I lay in my bed helpless,
and will leave my child motherless.
Ladies, don't end up like me ~ Elizabeth Basiame Nkau
nakubaliana na wewe kuhusu kucheat kabisa,je hao wanaruhusiwa kuoa wake wa4???
ReplyDelete"a man who cheats doesn't love you,
ReplyDeletehe just likes you, just like he likes all the other women"
Mark those words. Ladies, don't you let him do you wrong. Not worth it.
Ingawaje majority ya wanaume ndio wanao cheat lakini mwanamke anategemea kupata nini kutoka kwa mwanaume aliye na mke nyumbani?
ReplyDeleteJamani inatakiwa tuamke hawawaachi wake zao hao. Wataku use usiku wanarudi kwa wake zao. Unabakia kula Xmass mwenyewe, Idd, mwenyewe sherehe zote wewe upo tu mwenyewe. Kila siku atakwambia yule namwacha mtoto akimaliza kunyonya tu, mara aha bwana akijifungua tu basi mimi simtaki tena...kumbe ni lugha ya malaya na miaka inaenda tu.
Wanawake tujifunze kusema noooooooo and no means NO siyo ile ya sitaki nataka.
Na pia wanawake tujifunze kujitegemea. Wengi wao wanakubali kutembea na wanaume waliooa ni kwa ajili ya vigari na vidhahabu tumesahau ukifa unaacha vyote duniani...
Pia ningeshauri makanisa yawe yana toa devorce kuna ndoa nyingine zimeisha siku nyingi na kubakia jina tu lakini makanisa hayatoi divorce. Ni heri divorce kila mtu achukue hamsini zake kama ni kutunza watoto iwe juu ya mahakama waamue kama nchi za wenzetu....mapenzi hayagawanyiki na likiisha limeisha..
Na mapenzi ya kutafutiwa mwanamke bila kumfahamu kwanza yananyauka vibaya sana. Hizi mila zetu za kutafuta msichana fresh kutoka kulee mndenyi lakini hamna hata jingine atakalo offer kwenye ndoa waliwezaga babu zetu tu. Huu ulimwengu wasasa kuna mambo mengi yanahitaji watu wawe wana upeo wa mawazo au fikira sawa. Yes sir...yes sir wanawake wanabore. Na wanaume waliosoma au wasiotaka kufa masikini watakwambia hili fika. Wanaume wanapenda mwanamke mwenye mawazo, mwenye kujishughulisha katika kutafuta maisha, mwanamke atakaye kuchallege in a good way in life. Kama mke akipata diploma basi mume anakimbilia degree. Bibie akipata degree basi bwana anakimbiza master. Mama akitoka na nyundo basi baba anapanda darini. na kama wale wasiopenda shule lakini kama ni biashara basi mwanamke anafanya finance na kuwa secretary at the same time. Sio biashara unaijua tu jina na masecretary wanaajiriwa tu na sio mwanaume ana Ph.D mke hana hata elimu ya form 4. Ila bado kuna few TZ men wanaogopa wanawake wasomi hao siwazungumzii hapa kwa vile hata simshauri mdogo wangu aniletee shemeji atakaye mkataza kwenda mlimani kumaliza elimu yake. Huyo hakutakii mema na atakulostisha tu.
Na trophy wife nayo ina muda wake ikiisha imeisha. Uzuri hauishi milele wale wanaotegemea kuolewa kwa ajili ya uzuri tu. Na kila siku kwenye masaloon ukitegemea kwa vile ni mzuri basi a rich man will love you forever bila kucontribute idea au mawazo yeyote katika maendeleo ya familia yako umelost na ndio mlango unaufungua kwa mwanaume akienda akakutana na mwanamke msomi anaye discuss mambo ya muhimu na mumeo within a week you are history in his mind.
Wewe mwanamke ukikalia kukaa nyumbani tu mumeo alete hela utegemee utampa penzi tu haitoshi. Mapenzi yapo kila mahali na wazuri wako kibao na wengine bado hata hawajazaliwa.
Tuamke na kujitahidi kusoma na pia wanawake wanahitaji kuwa na confidence ya kuchagua mume sio waume tu ndio watuchague. Wengine wakimbilia kuolewa na mtu hata hawampendi au fika wanajua huyo mtu anatabia fulani mbaya lakini kwa vile ana hela, au mshichana naogopa kijiji chote wasichana wa umri wake wameshaolewa basi yeyote anayekuja basi tu anakubali kuolewa ili mradi na yeye kaolewa. What is the point? .... Take your time and you will find your real life mate or a real soul mate. Hii culture ya kuolewa kabla msichana hajafika miaka 21 imepitwa na wakati sana.. Mtu akiwa na maika 25 hajaolewa basi watu wameshaanza kumsema imepitwa na wakati. What do you real know at that age???????
Michuzi usibanie mawazo yango
And a woman who cheats on you,doesn't love you...May be he likes you but most probably her hearts is in your wallet.Worse still,if she infects you with HIV,she will simply vanish,and when you die she wont attend your burial ceremony.....
ReplyDeleteMarrying a Chagga can be a greatest pain….
ReplyDeleteI always knew that getting married to a Chagga woman is a headache, especially if you are a kyasaka (Kyasaka is a Chagga name for any person who is not a mChagga) – but my girlfriend's dad took the cake and the cherry on top! The cream even! With a mchagga father one never wins! You see, most Chagga parents don't believe in inter-marriage. When the topic of marriage comes up they will always insist that home is always best. In fact some parents are so fast at hooking their children up!
"When is daughter coming back? Is she done with her law degree? My nephew is just about to finish his doctorate. Maybe we should introduce them when they get back from overseas."
Naturally when you hear degrees, overseas and such arrangements it only means prominent families – with names and clout. Anyway, so there they were, the two of them, sharing that father-daughter moment. They used to have that, those two. So my girlfriend brings up the topic that makes any possessive Dad freeze. But since they always had that bond, he was down with whatever.
"If I ever get married I will get married to a Mzungu," she announces.
"Where from?"
"Hmm, say German."
"No, his parents will always make you feel like a second class citizen."
"England?"
"They will never see past your race and colour."
"Okay, an African then."
"Great! At least we are home. But where from?"
"Okay, South Africa?"
"They will abuse you."
"West Africa?"
"They will probably sell you for your organs."
"North Africa?"
"They will put in a harem."
"East Africa then."
"Great! At least we are home."
"Hmm, Uganda?"
"Uwii! HIV/AIDS!"
"Kenya?"
"They will harass you!"
"Jamani wapi sasa?" my girlfriend had started the topic to get at her Dad, but now the tables had turned around. She was getting highly agitated.
"How about home?" Her dad offered.
"Okay, how about Wagogo?" She asks about the tribe from Dodoma.
"Omba omba wale. You will be as poor as a church mouse!"
"Wahaya then?"
"They are too arrogant!"
"Wapare?"
"They like sex too much!"
My girlfriend giggles at this, thinking – as if there is something wrong with that. The dad seeing his daughter's reaction gives another point quickly.
"And they are misers!"
"Okay, Wakurya?"
"You'll be bitten black and blue!"
"Wasukuma then?"
"They will fatten you up and force you to bleach your skin and every time is wageni time and kitchen is always busy and your husband's village mate is your close relative when you succeed."
"Okay, I take it you will be happy if I got married to a mChagga?"
"That's what I have always been telling you!"
"WaKibosho?"
"They will beat you black and blue!"
"WaUru?"
"Very smart, educated but no maendeleo. You husband might end-up being a shoe shiner with a pHd."
"WaMachame?"
"Wachawi! They can even bewitch the dead!"
"Wa-Old Moshi?"
"Washamba!" He spits on the ground, "they are so ignorant they don't know the difference between a cell phone and a remote control."
"WaMarangu?"
"They are too arrogant!"
"Okay, so I guess you will be happy if I married someone from our village."
"Absolutely," he smiles. "But they are too …"
"I hear you, dad," my girlfriend interrupts, "someone from the same community then?"
"Which clan though?"
"The Temba's?" "The great grandmother was a witch."
"The Macha's?"
"I hear the aunt's cousin's sister's son's father was a mental case. Your children might inherit it."
"The Mushi's?"
"They are thieves. They are so bad that they even steal their very own livestock jamani!"
"The Temu's?"
"They haven't gone to school!"
"Okay, I guess you will be happy if it was from the same street then?"
"Absolutely!" The dad replies with a grin, "but which family though?"
Kweli marrying a Chagga can be a greatest pain….
Hii message ya huyu dada Nkau ni ya ukweli kabisa, mara nyingi kina dada (sio wote) lakini the majority wanakuwa committed na faithfull katika relationship na pia hata kwenye ndoa. Lakini if your partner or husband/wife cheats kwa kweli that means he/she 'just like you' and not Love you. Ladies/Gentlemen out there, hii ni vita mbaya ya ukimwi tunayopigana nao. Your life is very precious na AFYA YAKO ni kama mbingu hapa dunia .... so uamuzi ni wako either decide to persevere rubbish and die and kama case ya huyu dada Nkau leave your child motherless or uamue kuishi pekee(step out of cheaters) na kulea watoto wako or live a health life,and take control of your life.
ReplyDeletehivi like na love tofauti zake nini?
ReplyDeleteBrother Michu,huyu dada elizabeth muulize ina maana aliyoandika ni true story,if so inatia huruma sana. kuna vidonge vinaitwa MARIANDINA ,mwambie avitafute ameze vitamsaidia.Mariandina sio tiba ya ukimwi lakini ni virutubisho vinasaidia sana sana ,mimi nina ndugu yangu vimesaidia kumwinua kitandani.naomba mungu amsaidie huyu dada.
ReplyDeletesamahani michuzi hii sio mahala pake ila nimeingiwa na woga mno kuona kwamba sasa tunataka kuwakaribisha wawekezaji wa-kinaigeria? the well known international fraudulents every country try to steer away from them? God bless tanzania!!
ReplyDeleteDon`t bank on foreigners, Obasanjo tells Africa
2007-07-14 09:08:19
By Austin Beyadi
Former Nigerian president Olusegun Obasanjo has underscored the importance of Africans disabusing themselves of the mistaken belief that the continent can develop only if foreigners flock in with investments.
He blamed the belief on the excessive brainwashing of Africans, which he said had wreaked havoc on the people`s mindsets.
The retired Nigerian statesman who has since turned to agriculture made the remarks at a dinner in Dar es Salaam on Tuesday organised by Tanzania?s National Investment Company (NICO).
He appealed to African nations to sincerely believe that the continent has most of the resources and inputs it needs to develop and prosper.
Foreigners usually decide to invest in particular countries in Africa after being encouraged by the satisfaction of local investors, Obasanjo pointed out, noting that where there is dissatisfaction or resentment they often keep a safe distance.
He called on African governments to help by affording the private sector supportive terms and conditions so that it can provide better services and encourage foreign investors to flow in.
``We are here to share experiences with our brothers and sisters in Tanzania to ensure that the economy of this country moves forward,`` said Obasanjo.
He explained that there are already some businesspersons in Nigeria who have expressed interest in investing in milling, petroleum, and cement manufacturing. Some are due to sign memoranda of understanding soon.
The retired army general described himself as a farmer but said most of people in the delegation he was leading on the Tanzania tour were entrepreneurs ``with very keen in exploring investment avenues``.
He referred to a country`s local investors as the engine of the respective country`s development, adding that they must be assured of favourable work conditions so that they can become more productive and efficient.
In his remarks, NICO Chairman Felix Mosha said that the company would be seeking investment capital alongside looking forward to getting technical assistance from Nigeria.
The Nigerian delegation yesterday held talks on matters of mutual interest with members of the Confederation of Tanzania Industry, Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture, Tanzania National Business Council, Tanzania Private Sector Foundation and an array of other entrepreneurs.
It had earlier toured the Tanzania Investment Centre and briefed on the investment climate in the country, the investment opportunities available and the possibilities of investing in specific areas of interest.
The delegation comprised investors in the energy, financial, commercial and industrial sectors.
SOURCE: Guardian
Tanzanians reject fast-tracking EA unity
ReplyDelete2007-07-14 09:09:19
By Pastory Nguvu
About 79.9 per cent of interviewed Tanzanians have said that there is no need for fast tracking the East Africa Federation, according to a report of the committee charged with collecting people`s views on the East African federation.
A statement from State House said the report was presented to President Kikwete yesterday by Committee Chairman Prof Samwel Wangwe.
Prof. Wangwe said only 20.8 per cent of interviewed Tanzanians preferred fast tracking of the federation.
Prof. Wangwe told the President that 65,000 Tanzanians gave their opinion and his committee visited all the 26 regions and all districts and met all important groups in the community as directed by the President.
He said the exercise took rather a long time due to the importance of the matter as well as the need to adhere to terms of reference given by the President.
He said various methodologies were used, including holding open meetings, giving questioners, using the radio, television and the Internet.
He said the report which is contained in two books together with a television tape had been divided into two major categories which are political and economic; and social.
Prof. Wangwe said that a need to create awareness to the people concerning the federation was one of the issues that were insisted on by members of the public when giving their opinion.
``Most people doubted whether neighbouring countries are democratic enough and whether they uphold principles of good governance to warrant joining the federation. Others suggested it is better to first solve union problems before joining the federation,`` he said.
Prof. Wangwe said many Tanzanians showed fears on four issues.
First, the economic differences between Kenya and Tanzania, secondly the ability to enter into business competition especially in the job market, thirdly the importance of building good economic foundation and finally, ownership of land and natural resources.
Speaking after receiving the report, President Kikwete said after the committee had finished its task, the ball was now in the government`s court.
He said the report would be submitted to the cabinet as well as to the Minister for East Africa Cooperation, Prof. Ibrahim Msabaha.
``Once the cabinet has received the report, the responsible ministry will meet with its counterparts and the East Africa Secretariat,``he said.
Kikwete commended the committee for the work done.
He promised Tanzanians that his government would work up on the people`s opinion as it had been suggested.
The committee started its work in October last year and completed the task on July 13, 2007.
* SOURCE: Guardian
its means being in a marriage/relation is nonsense? doreen dont talk about leaving ya kids motherless, kufa kupo inategemea which way na muda gani, ndoa au mahusiano ni kuhusu furaha thats it, watoto na other things vinakuja kutoka nawe unavyopanga, hence cheater will still cheating coz wasichana wamefanya machalii kitegauchumi...be yaself and ya dignity is treausre whatever
ReplyDeleteWanawake wana nafasi kubwa sana katika kukomesha hili.
ReplyDeleteKidemu kinajua kabisa kwamba you have somebody. Saa nyingine wenzangu na miye hata hiyo hela huna basi tuseme kanaswa na utajiri. Lakini kitakuganda weee, ukikaonja ndiyo hakabanduki tena!!!
Kanawaaambia wengine vinakuja mfululizo kuremba remba macho, mara miondoko...una kalamba na hako karafki kake...basi biashara inakuwa lamba nikulambe mpaka mama watoto anawafumania mkikumbatiana. Shukuru Mungu kama kidemu chenyewe hakijaanza kumtambishia mkeo kwa mafumbo.....
Mademu wakiamua hii tabia iishe wanaweza. Wewe unajua kabisa mimi nina mke, unanirembulia macho iweje? kama alivyosema anonymous 1:22:00 munajipendekeza mno mukituona kwenye vigari vyetu vya mkopo. Sasa inabidi kuwalamba. Na cha ajabu unajua kabisa rafiki yako kalabwa, na wewe unajipitisha. Take it from me, ukiona kundi la wasichana 5, ukilamba mmoja, kuwamaliza 4 waliobaki ni kama kumsukuma mlevi. Hivi mukoje?
ReplyDeleteMujiheshimu, la sivyo tutaendelea kuwalamba, yaani tunawachukulia kama robot tu za starehe. Wake zetu wapenzi wako nyumbaniiii. Ni kweli tunacheat, ila munatulazimishaaaaa '-Sinza.
Tanzania ukimwi mwingi kwa vile ni wachache wanaomake love hata wakiwa kwenye ndoa au relation. Most of the people bongo ni kama raping.
ReplyDeleteYa yale ya wachagga mama naniii nakuja nyumbani nina dakika kumi tu........
And then tabia ya watu kuwaacha wake zao vijijini na familia yake halafu yeye anakwenda kusalimu kila baada ya miezi fulani. Utazania mtu alimuolea mama yake huyo mke. Mke wako unamwacha na mama mkwe...Hii tabia ikome....kabla hujaolewa uliza ...utaniacha na wazazi wako au......
Anonymous 1:22;00 and 2:53:00 siwaelewi kabisa : yaani nyie ni watu wazimma hivyo videmu mnavyosema kwani did they rape you? You make consiouc decisions to cheat so don't avoid responsibility for your weak spines and ;ow morals by blaming hivyo "videmu".Kwani hamjui kukataa?? Say NO.Kanisani mliapa nini?
ReplyDeleteWewe anony wa July 13, 2007 9:20:00 .Asikuambie mtu ndoa haina Formula.
ReplyDeleteHata kama unachangia kiasi gani kwenye familia akiamua kufanya anachotaka kufanya anafanya tu.
wanaume wanaonea sana jamani,dawa wanawake tujitahidi tuwe na income ,hapo kidogo unakuwa unasauti,kama ndio unamtegemea yeye 100%hamna ujanja.
ReplyDeletendoa formula ipo. Ni kuamua kujiheshimu wewe, kumuheshimu mume/mke wako 100%.
ReplyDeleteUkifunga ndoa uwe umejilisha kiapo wewe mwenyewe. 'Uwe mke/mume wangu...' sasa inabidi kabla ya kuingia uwe una hiyo tabia ya kujiheshimu, ili uweze kuchagua anaejiheshimu.
La sivyo ni kujifunzia humo humo....
Swala ni KUAMUA KUJIHESHIMU, KUWA NA KIASI, je uko tayari wewe???? kuona viuno/vimini, macho nk vyote uviache???
je uko tyari kuona gold, vigari, mabotique maouting, mahendsome vyote vikupite?
wewe ndio nakuuliza unaweza? kwa matendo si kwa kwa maneno kama kawaida yetu.
Lakini dada mwenye stori hapo juu, pls usiwe so down, though there are some down times, pls find a reason to have a good time, enjoy some things. We all make mistakes, and you can get up and see through the dark, there is some light, believe it, been there done that.
tatizo wengi tunataka kupokea tu, kutoa hatutaki, mapenzi ni kujitoa. kama huwezi baki singo. pia ukiapa siku ya harusi timiza kiapo chako. pia jifunze kuwa na kiasi wakati uko singo. acha tamaa ya kila kitu, hakuna mwenzi mmoja atakaeweza kukupa hata nusu ya mahitaji yako, utaishia kupitia wote watakaokubali.
ReplyDeleteukiamua unaweza.
biliv mi ai hev biin thea and done that
Nampa pole nyingi dada yangu! Hata hivyo lazima tukubali kuwa suala la cheating halina jinsia. Tunaona wake za watu wakichiti mjini hapa mpaka unashangaa jinsi kina mama wa kileo walivyoondokana na woga kwa speed ya ajabu. Cha muhimu na cha kuzingatia ni kwamba jitihada zifanyike kuhakikisha kuwa wanaoamua kuoana wana mapenzi ya dhati na pia wanafanya kila linalowezekana kujenga zaidi mapenzi yao. Wajisomee vitabu vya kukuza mahusiano na watekeleze mambo muhimu. Pamoja na kufanya yote haya bado watu wakubali kuwa risk ya cheating inabaki japo inakuwa imepunguzwa! Unapoishi na mwenzio weka utaratibu wa kupima afya na mara ukigundua tatizo fuata masharti juu ya namna bora ya kuishi na virusi. Acha kurusha lawama maana lawama hazisaidii na badala yake samehe ili uishi maisha marefu na ya amani zaidi pamoja na virusi.
ReplyDeleteTuamke na kujitahidi kusoma na pia wanawake wanahitaji kuwa na confidence ya kuchagua mume sio waume tu ndio watuchague.
ReplyDeletejamani mi kama mwanamke,tuwape lipi la ziada ili msiangalie vya pembeni,maana wengine hata unyago wameenda lakini bado hamridhiki,ukiwa mpole mnatuona mabwege,tukiwa na mdomo ,hamtulii nyumbani,mi hapa naona huwa inafika time mnakuwa mnachoka or bored,so mnaanza tafuta vya pembeni,then mkiishiwa mnarudi nyumbani,na mkirudi ndio ukimwi wenyewe sasa
ReplyDeleteDada (July 13, 9:20:00 PM), umetupasha haswa, af utamu zaidi wala hukuchagua (wake kwa waume). Upeo wako wa kuona mambo inaelekea ni mkubwa saana. Mie huwa napitia pitia ujumbe wako wa kutoa ushauri nasaha(wa bure). Jamani sote tubadilike la sivyo hatufiki!
ReplyDeleteWell nadhani hayo yote nikutokana na watu kusahau kwamba Mume kaumbwa na matamanio mengi zaidi ya mwanamke. Kwamwanamume rijali kuvumulia vishawishi vyamakusudi inahitaji kumjua mwenyezimungu ambaye huaminika kwamba yupo everywhere kuliko na mkeo ambaye hayupo.
ReplyDeletePia napata shaka kuhusu uwingi wa wanawake ni zaidi ya wanaume. pia mujue katika wanaume kumi rijali ni 6 tu. wanne ni wanaume jina. so najiuliza hawa wadada wasiopata wanaume wa kuwaowa waende wapi?
so lazima tuwapeshare yao kiasi kwakuwaowa hata wanne.
naamini tukigawana tothat nature wataisha wote nawala hakuna wakujipitisha.
sometimes nao mabint usipowalamba nao wanamaneno ya matusi na fedheha
ndio maana munalambwa. "please wanawake waogopeni wanaume.. mwanamme akitamani kikweli huwa kama chizi.. so take care.. musile vywatu bure... hakuna cha bure.."
Onthe other hand wanwake nao wakiolewa wanapoteza ubunifu. unakuta anakaatu kama mzigo kila siku wewe ujitahidi kubadilisha hiki na kile. hasa akizaa kajihakikishia leseni inakuwa tabu. so how can we resist mioyo yetu nayo imeumbiwa kupenda vizuri na suprise???
Me-mzumbe.