jengo la mafuta kona ya mitaa ya jamhuri na azikiwe karibu litazinduliwa. linamilikiwa na nssf pamoja na shirika la maendeleo la mafuta - tpdc na tayari limeshajaza wapangaji...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2007

    Michu jengo hilo lilikuwa linapinda as linapozidi kwenda juu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2007

    Wabongo kwa maneno kipindi fulani lilisimama ujenzi basi oh mara limejengwa ndivyo sivyo eti uinjinia haukutumika hapa itabidi livunjwe.

    Duu leo limekwisha angalau Dar nayo ionekane.

    Tunataka Flyovers walizopendekeza UCLAS,Taifa liwatumie hawa watalaamu jamani msongomano wa magari used uishe Dar.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2007

    Nilipta hapo jana.. Yaani pamekaa vizuri kweli na panavutia!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 11, 2007

    Jamani jengo hilo huko juu kuna maji? Vyoo tukienda uani tutaweza ku flashi? Umeme je? Lifti zitakuwepo, sio mambo ya ngazi eti lifti mbovu au hakuna umeme. Tuangalie mambo mengine kabla ya kuanza na haya majengo. Tunatakiwa tuanze kwenye mambo ya msingi (basic) kama Maji, Umeme na uongozi bora

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2007

    Nakubaliana na anony hapo juu, muda umefika wa kutumia ujuzi wa waliohitimu UCLAS, iwe fly-overs au mambo mengine. Ni aibu kubwa vijana wenzetu wanapokosa kupewa kipaumbele na matokeo yake "tenda" zinaenda kwa wageni na fedha nazo pia kupeperuka (no offense kwa wageni, wakaribishwe kama ilivyo jadi)!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 11, 2007

    Jana nilikua nasikiliza TV kipindi cha mjadala kuhuku africa mashariki na kati kikatokea. Katika mjadala huo kuna mtu alisema kuna mdau amemaliza civil engeneer TZ na saa hivi ni chief of road construstion huko Bahamas.

    Kwa hiyo hao sijui UCLAS mnaotaka iwe fly overs kumbukeni katika ulimwengu huu wa utandawazi sky is your limit. Msingojee ajira nchini tu? Na always nabii haheshimiki nyumbani nenda nchi nyingine na apply kazi kila mahali. Kwenye internet sio msome udaku na Hi5 tu. Tafuteni kazi kila sehemu hao wanaokuja hapo nao wamesoma kwenye internet wakapata tenda bongo.
    Mdau - USA

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 11, 2007

    jengo limekula mabilioni ya shilingi lakini kilichotoka ni matofali tuu na jengo la kizamani sana...kweli uzembe na rushwa ni adui wa haki na wote tunasuffer kwa wajinga wachache

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2007

    Michu. hilo jengo liko city center. hivi traffic mitigation study ilifanywa? na je, litakapofunguliwa, watumiaji wata-park wapi?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 12, 2007

    Hili jengo ni la serikali au la mtu binafsi?Paking za magari iko vipi?Vitu vingine kama maji umeme nk viko vipi?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 12, 2007

    Kuna underground parking

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 13, 2007

    sawa underground parking lakini umeme ni aje? Maji je yapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...