mdau kapata kamera mpya na ile pyeee katuletea picha hii ya stendi ya ubungo ambapo siku hizi kuna foleni kibao kutokana na uhaba wa madereva toka msako wa walio na leseni feki ulipoanza hivi karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2007

    saafi nmna hiyo. Na foleni iendelee hata wakati wa kupanda kwenye daladala maana pia kuna uhaba.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2007

    hivi hawawezi kuweka lami maana hizo vumbi ni balaa na sitoshangaa kama hakuna vyoo au kama vipo ni vichafu ile mbaya..na kwa nini watu wanakaa nje na jua lote lile.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2007

    China wamemuexcute mkuu wa FDA kwa kula rushwa na kusababisha kupitisha dawa fake ikaua watu kama 10 na alipokea rushwa ya $850,00 tu.

    Hii nayo ingeingia TZ viongozi wote wanaokula rushwa na kuacha mabasi yanaua watu kila siku tia kitanzi.

    Viongozi wanaokula hela za madawa ya malaria na vyandarua vijijini tia kitanzi.

    Wanao kula hela za visima watu wanakufa na magonjwa kwa kutokupata maji safi tia kitanzi.

    Wanaopitisha contract za ajabu ajabu tia kitanzi.

    Wanaoachia majambazi wapate bunduki na kuua kila siku tia kitanzi.

    Majudge wanaofavor matajiri au raia wakuhamia tia kitanzi

    Wao watu kumi tu wamemuondoa jamaa sisi kwetu tunaangaliana tu tunavyopoteza ndugu kila siku na maajali ya mabasi barabarani. Kisa hamna anayefuatilia ukaguzi wamagari au madereva.

    Bila hilo kweli hatutafika popote lakini kumbuka soul zote ni sawa hata kama ni mtoto au maskini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...